Vita ya mwanaume kwenye Maisha ni Real Battle

Vita ya mwanaume kwenye Maisha ni Real Battle

Rebuild

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,739
Reaction score
7,444
Wanaume tunapitia vitu vingi Sana kwenye maisha.

Utafutaji wa Hela.

Changamoto za ndoa ndani ya nyumba.

Kudharauliwa na baadhi ya wanaume wenzetu waliotuzidi kipato.

Kudharauliwa na wake zetu sababu ya tamaa za nje au wanawake waliotuzidi kipato au sababu ya urembo wao alafu sisi ni apeche alolo.

Yote haya yasikufanye ukakata tamaa ya Maisha mchizi wangu kumbuka Kuna mwanaume mwenzio anapitia mbanga nzito kuliko wewe.Kwahiyo shukuru Mungu Kwa kukuumba mwanaume mana ukikojoa unasimama na sio kukaa.

Life ni tough Kweli lakini bado tumaini la kupambana lipo na Amini utapata tobo la kutokea Tu.

Achana na akili za Maisha ndio haya haya.Tupambane ili kesho iwe kumbukumbu Kwa kizazi chako kwamba mshua alikuwa fighter sio Kolo.

Tupambane mchizi wangu JUA bado linachomoza.
 
Back
Top Bottom