mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Vita ya mwanaume kwenye Maisha ni Real Battle

    Wanaume tunapitia vitu vingi Sana kwenye maisha. Utafutaji wa Hela. Changamoto za ndoa ndani ya nyumba. Kudharauliwa na baadhi ya wanaume wenzetu waliotuzidi kipato. Kudharauliwa na wake zetu sababu ya tamaa za nje au wanawake waliotuzidi kipato au sababu ya urembo wao alafu sisi ni apeche...
  2. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kaa mbali na Vitu hivi Kwa ustawi wa maisha yako

    Salaam jamiiforum. Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo. 👉Pombe. Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote. 👉 Mapenzi. Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usione aibu kumwambia mwanamke huna pesa hata kama unazo

    Katika kuishi kwangu nimeona Tabia hii imekuwa ni common miongoni mwa wanawake nayo ni kubadilishana mwili na pesa , ukimtazama katika jamii zetu kundi kubwa la wanawake wa Sasa Kwanza wanasema hawana upendo wanapenda pesa, wapo ambao kuanza naye TU mahusiano au kumsemesha umezalisha case ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa unalipa sana , shida uongozi unapobadilika huishi maisha ya kutengwa na aibu mfano wale machawa wa Magufuli wako wapi?

    Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote. Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa. Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Iwapo Mwanaume umetulia kwenye Ndoa halafu mke akatoka nje, hilo kosa linauma sana kwa Mwanaume

    Anasema kumsamehe Mwanamke anaposaliti kwake ni ngumu sana hasa pale ambapo anapokuwa hatoki nje ya ndoa kabisa, hilo ndio kosa ambalo linaumiza zaidi kibidamu, na ni ngumu sana kumsamehe labda kwa uwezo wa Mungu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ni ngumu kwa Mwanamke kutulia na Mwanaume mmoja?

    Huyu jamaa anadai kuwa inaamika wanaume ndio hawawezi kutulia na Mwanamke mmoja lakini yeye baada ya kuanza kufanya kazi na Wanawake amegundua kuwa hata wanawake ni ngumu kutulia na Mwanaume mmoja. Anasema jambo hilo lipo pande zote mbili, japo wanawake wanajitetea kuwa wanampenda fulani na...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Kuna mtu humu aliebahatika kuangalia mkanda (tape) ambayo ilikuwa na video full za kuteswa kwa samuel doe wa Liberia

    Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize. Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu. Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo: Elfu 20 ya mwanaume ni bora kuliko billion ya Mwanamke

    Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke. Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke. Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion. Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa Dar akitimiza majukumu yake

    Mungu awasaidie kwa kweli.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sio kwamba wanawake wa Kinyakyusa ni wagumu, bali taasisi ya ndoa inahitaji mwanamke kujishusha, kutii na kukubali mwanaume kuwa kichwa cha nyumba

    Kuna mtazamo hasi sana umekuwa ukisambazwa kuwa wanawake wa Kinyakyusa wana kiburi, ni wababe, Lakini, je, umewahi kujiuliza kuna nini nyuma yake ? Ndoa inamuhitaji mwanamke kujishusha (Submissive), Ndoa inamtaka mwanamke kumtii mme wake, ndoa inamtaka mwanamke kukubali mwanaume ndie kichwa cha...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

    Dkt CHEMICAL ANAFUNDISHA NINI HUKO UDSM KAMA HAJUI NDOA NI SEHEMU YA MAFANIKIO YA MTU BOTH MWANAUME NA MWANAMKE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ndoa ni moja ya vipimo vya mafanikio ya mtu. Hilo mtu yeyote ambaye anaakili timamu analijua. Sasa mtu umeenda shule mpaka umefika chuo kikuu...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tambua kama mwanaume kila msimamo utakaochukua lazima ukugharimu na hakuna namna ya kukwepa hili katika kutengeneza familia na ufalme.

    Swali ni unaweza kubeba na kubembeleza consquences za maamuzi yako au utasukumia kwa wengine kinamna.
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa kichaga ni walevi sana?

    Unakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe.. Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Huyu dada kaongea ukweli japo Lugha Ina ukakasi.Ukiolewa na Mwanaume Maskini Tulia Ukileta ujuaji kwenye Mali zake utachinjwa kama kuku.

    Sikiliza video kamaili hapa https://www.instagram.com/reel/DekdWJCik8d/?xtok=MXQycG1hZXY1azQ4dA==
  15. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Eti akiishi karibu na mwanaume masikini, anaweza akaishiwa pumzi

    Baada ya kuniambia hivyo namimi nikamjibu kwamba..... Mbona ameishi karibu na baba yake miaka yote na bado yupo hai...🤣 Ndani pamewaka moto, Gen-Z kakukatana na majibu ya mubaba wake...🤨 Au nimekosea kumjibu wakuu....🙄
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Mmoja Wa Kigeni huko Saudi Arabia ahukumiwa kifo kwa kukashifu Uislamu

    Mwanaume kutoka Sri Lanka akikabiliwa na adhabu ya kifo kutokana na maoni aliyoyatoa kwenye Facebook. Hata hivyo, kwa mujibu wa taarifa kutoka Sri Lanka, Mahakama ya Juu ya Saudi Arabia imebatilisha hukumu hiyo. Anujan Sivarasa, mwenye umri wa miaka 27, alihukumiwa kifo mwezi Septemba 2026...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naona watu wengi wana share sana hints za kujua mwanamke au mwanaume wa kutomletea majanga mbeleni. Nipende kuwaambia hamjui "HUMAN NATURE"

    Matukio ya mauaji baina ya wenza hivi karibuni yamezua mijadala na mihemuko Hata masikini wanaekeana sumu kwenye chakula na hakuna chochote atakachokirithi kama mume huyo akifariki. tabia njema na sura ya upole sio njia ya mke au mume mwema. MAbadiriko ni njia ya mwanadamu, haujui wife...
  18. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

    Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi. Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi? Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani. Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa...
  19. masai dada

    JamiiForums Tanzania size ya sehem za siri za mwanaume inaendana na kimo chake?

    nataka nijue plz size ya sehem za siri za mwanaume inaendana na kimo chake?
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kweli, sifa ya mwanaume halisi ni kupenda na kuchukua hatua.

    Nikija nikimpata huyu mrembo, sitaitoa nje kabisa, nitailoweka humo humo ndani mpaka asubuhi. Kwa uzuri alionao, anafanya mapigo yangu ya moyo yaende mbio sana, nimekuwa kama zezeta, akisema anataka hichi au kile ninampatia. Hapa nipo najipanga, siku atakayonitunuku, nitailoweka mpaka...
Back
Top Bottom