Kwan wew siyo mleviUnakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
Kwasababu wanajua kutafuta hela na wanajua kuzitumia. Ukumbuke, "Hakuna Mchagga fala"!Unakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
Nyege hawana ndio maana wanaamua tu wajigide na kujimiminia mipombe walale baada ya uchovu wa kutwa nzimaUnakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
Povu bin povuka😀😀Unatamani uwe demu mchaga na wewe ulewe kama wao ?
Kupanga ni kuchagu, kila mtu anajiamulia afanye nini na wakati gani.... kama hakuombi ugali muache ale maisha vile anaona inafaa
HakikaWana akili sana sana, huwezi kukuta mwanamke mlevi ambaye hana akili.
Kuna Pombe yako imepotea Mkuu?Unakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
Inashangaza sanaKuna Pombe yako imepotea Mkuu?
Stress na usela maviUnakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
Wengine hawatongozeki hawana haiba ya kike, Yes unakuta ni mzuri anvutia Ile ukiweka ukaribu naye unaona kama uko na mwanaume mwenzio, hawana mahaba, naweza kusema ni kundi kubwa namba moja Nchini kwa kupigwa vibuti na kutelekezwa. Hivyo pombe inabaki kuwa faraja yaoNyege hawana ndio maana wanaamua tu wajigide na kujimiminia mipombe walale baada ya uchovu wa kutwa nzima