Asperoris is an extinct genus of archosauriform reptile known from the Middle Triassic Manda Beds of southwestern Tanzania. It is the first archosauriform known from the Manda Beds that is not an archosaur. However, its relationships with other non-archosaurian archosauriforms are uncertain. It was first named by Sterling J. Nesbitt, Richard J. Butler and David J. Gower in 2013 and the type species is Asperoris mnyama. Asperoris means "rough face" in Latin, referring to the distinctive rough texture of its skull bones.
Baada ya Doumbia kutikisa nyavu zilianza kusambaa video za kiungo huyo akipewa mazoezi na mkufunzi wa mazoezi Godfrey Mkinga maarufu kama Denzel..
Dar es Salaam. Wiki hii imekuwa tamu kwa mashabiki wa soka na burudani baada ya mshambuliaji wa Simba SC 🦁, Ibrahim Doumbia, Oktoba 21, 2026 kuanza...
Mfano Nyani, Sokwe, tumbili, Swala, Twiga, Mbuzi, bundi, nguruwe au wanyama wengine wowote wangemuwahi binadamu na kuwa wa kwanza kula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya kutoka mti wa katikati ya bustani ya Eden kungetokea nini ? Na wao wangepata ujuzi wa mema na mabaya na kuwa na utashi...
Kutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi.
Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi zaidi anapowekwa kwenye miondombinu sahihi ya ufugaji yenye nafasi kubwa na maji ya kutosha muda...
NB: Translation ya baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika
Dinosaria- Dinasours 🦕
Visukuku- Fossils 🦴
Wanasayansi wamegundua spishi mpya ya mnyama wa kale aliyeishi takribani miaka milioni 240 iliyopita.
Kiumbe huyo aliyekula mimea, aliyepewa jina la Dinodontosaurus isiyavamanda...
Azam ni moja ya Team kali sana kwa sasa. Ina Kocha ambaye pia ni rafiki yetu Yanga. Anajua kuwa Mikia ni maadui zetu
Leo Mikia wakijitahidi sana ni Draw. Hashindi. Labda ashinde njaa mbwa huyo. Azam wametoka kumaliza hii game kwa mtaalamu wetu wa siku zote ambaye anazuia sisi Wananchi...
Kama ni kweli kabisa binadamu anaweza kumteka mwenzie kwa sababu kamkosoa au ametofautiana nae katika hoja na mawazo tofauti nakuamua kumuua; huyo ni MNYAMA.
Kama ni kweli mwanadamu anashindana na kikundi kingine lakini alie kwenye kiti anatumia vyombo vyenye silaha kumwaga damu na wakati...
Miaka ile wakati nasoma Biblia ikiwa imeandika kwamba siku hizo hutouza wala kununua kitu mpaka uwe na chapa ya mnyama nikawa nashangaa sana. How?
Tunaenda sokoni, dukani, tunanunua mahitaji yetu, sasa hii chapa ya mnyama itatumikaje? Nikaona ebu tusubiri labda ni nyakati ambazo sisi tutakuwa...
Platypus ni mnyama wa kipekee sana anayepatikana porini mashariki mwa Australia na kisiwa cha Tasmania. Platypus
Ni mmoja wa mamalia wachache duniani wanaotaga mayai badala ya kuzaa watoto hai. Platypus ni wa kundi la mamalia linaloitwa monotremes, ambalo pia linajumuisha Short-beaked Echidna...
Kuna mtu kakataliwa na Mungu aliyemuumba, Mungu anatumia umma kumwadhibu, Farao yule wa Misiri, alifanywa moyo wake kuwa mgumu ili aendelee na ushetani wake ili aje kujionea ukuu wa Mungu kwa macho yake, ndivyo ilivyo sasa katika nchi Fulani, mtu huyo katiwa ugumu wa moyo ili aone ni sawa kwa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu wa 2025/2026, ambapo vigogo wa soka nchini wamepangiwa vibarua vizito mwezi Mei.
Katika ratiba hiyo, klabu ya Simba SC itakuwa mwenyeji wa TRA United ya Chobwedo...
CCM imeifikisha nchi sehemu mbaya sana, kwa sasa raia unawindwa kama paka na ukipatikana unapigwa kama mbwa mwizi na kuteswa ikiwezekana uuwawe kabisa.
Why ? Ni hawa matajiri wanafanya haya? Au vigogo wanaopora haki za raia wa kawaida ? Inahitaji kuandamana hadi viongozi watusikie?
Tusipochukua hatua sasa. Tutaimaliza hii dunia wenyewe.. Kwako unaona ni mrija mmoja, amazing chupa moja ama kipande kimoja! Lakini umeshawahi kuwaza mkiwa 100,200 1000 na zaidi?
Nimesikitika sana kuona unyama wanaofanyiwa wanyama na wachinjaji wa Ng'ombe.
Nimeona jamaa wakichinja huku Ng'ombe wengine wakiangalia ajabu kuna Ng'ombe walikuwa wanahalisha na kulia machozi kabisa wengine wakikojoa.
Hakika nimejifunza kitu siku zote nilijua wanyama hawana akili kumbe wanazo...
Mdogo mdogo tunatoa vyombo vya kiulayaulaya. Niliwahi kuwaambia Italy ndiyo Mecca ya fashion na kamwe hawatoi vitu vibovu.
Baada ya kuwaonjesha jezi moja tu tena imevaliwa na mchezaji mmoja, nchi nzima imezizima inaongelea huo uzi. Hakukuhitajika sijui video za Amapiano, sijui warembo...
Nyuma ya mtoto aliye imara kuna mzazi aliyepambana kimyakimya.
Naona wazazi ni watu wanaotakiwa kuheshimiwa sana. Si kwa sababu tu wanatulea, bali kwa sababu ya uzito wa jukumu walilobeba tangu siku ya kwanza tulipoingia duniani. Uzazi sio tu tendo la kuleta kiumbe hai, bali ni safari ya maisha...
Tumewapa wanyama hadhi ya uhayawani kwakuwa hawana utashi wa kibinadamu... Lakini nina hakika tumewaonea Sana
Mnyama anaua tu pale anapohisi hatari kubwa na anafanya hivyo kwa njia ya kujitetea.. Akipata nafasi hukimbia.. Hana kisasi
Mnyama anaua tu pale anapoumwa njaa ili apate chakula. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.