mnyama

Asperoris is an extinct genus of archosauriform reptile known from the Middle Triassic Manda Beds of southwestern Tanzania. It is the first archosauriform known from the Manda Beds that is not an archosaur. However, its relationships with other non-archosaurian archosauriforms are uncertain. It was first named by Sterling J. Nesbitt, Richard J. Butler and David J. Gower in 2013 and the type species is Asperoris mnyama. Asperoris means "rough face" in Latin, referring to the distinctive rough texture of its skull bones.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Natafuta kibali cha kusafirisha mnyama nchini

    Habari MwanaJF, Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka. Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei. Sasa ninamtafuta...
  2. Ben Zen Tarot

    Usiyoyajua kuhusu nguvu za mnyama simba

    SIMBA si mnyama mrefu kuliko wote. SIMBA sio mnyama mwenye kilo nyingi kuliko wote. SIMBA sio mnyama mwenye akili nyingi kuliko wote. Na pia SIMBA sio mnyama mkubwa kuliko wote. Lakini cha kushangaza, SIMBA ndie mfalme wa Msituni. Ikiwa sifa zote hizo hana je, ni kipi kinachomfanya SIMBA awe...
  3. Cassnzoba

    Hivi wana-JF, mnamfahamu mnyama huyu?

    Habari za mchana wanajf Leo nataka niwafahamishe kuhusu mnyama huyu aitwaye simbilisi au kwa kiswahili sanifu anaitwa nungu bandia 1. Anakula majani na vitu vyote alavyo binadamu yan mbogamboga ugali wali pilau na aina zote za mbogamboga isipokua nyama na vitunguu kwani akila vitunguu...
  4. Kichuguu

    Mnyama Airport Kwenye Runway: Marubani Wapewa Tuzo

    Nimesoma habari hii: Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, imesema itawazawadia tuzo maalumu Rubani Suhad Soud Kassim na Ofisa Daraja la kwanza, Alessandro Morgan kutokana na ujasiri walioonesha na kufanikiwa kuzuia kutokea ajali ya ndege. Marubani hao ni wa Shirika la Ndege (ATCL)...
  5. sky soldier

    Ni sababu ipi ya paka kumtesa panya kwa kumchezea badala ya kumuua haraka?

    Kiukweli paka ni wanyama wakatili sana, kuna paka hapa nyumbani huwa akikamata panya huko store inakuwaga ni mateso makali sana kwa panya. Anachofanya anambeba panya kwa mdomo anamleta uwanja wa wazi anamwachia, hapo panya akianza kukimbia paka anamrukia anampiga makucha panya, anambeba upya...
  6. Gily Gru

    Sura yako inafanana na mnyama gani?

    Niaje wadau wa JF Niko na mdau mmoja hapa anadai binadamu tuna sura za aina mbili, sura ya mbwa au sura ya paka. Sura ya mbwa anamanisha ni kwa wale wenye sura ndefu hivi. Sura ya paka anamaanisha ni kwa wale wenye sura za duara. Nikamuhoji mbona kuna jamaa falani ana kimdomo kama cha samaki...
  7. Ferruccio Lamborghini

    Ludewa: Kijana mbaroni kwa tuhuma za kumbaka nguruwe

    Mkazi wa kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
  8. Frumence M Kyauke

    Nyangumi wa bluu, mnyama mwenye uume mrefu zaidi duniani

    Nyangumi wa bluu ana uume mkubwa zaidi katika ufalme wa wanyama. Kwa kawaida inatajwa kuwa na urefu wa wastani wa uume wa mita 2.5 (8 ft 2 in) hadi mita 3 (9.8 ft) na kipenyo cha sentimita 30 (12 in) hadi sentimeta 36 (14 in). Ncha iliyokaushwa ya uume wa nyangumi wa Bluu, Makumbusho ya...
  9. M

    Simba vs Namungo, unadhani mechi ya leo mnyama atapata penalt dk ya ngapi?

    Mimi nishaweka sawa mkeka wangu mnyama Kama kawaida yake ataendelea alipoishia penalt ya 4 leo inapatikana ikishindikana kuna mtu anakula umeme tunashindaa bila jasho, ivyo vitu ndo mwokozi wetu kwa sasa mtatusameh kwakweli tunapozidiwa uwa tunakula mpaka Majani🤣🤣🤣🤣
  10. Molleli

    Ni mnyama gani huyu jamani?

    Wanavodai eti ni kibwengo!!! Na anaeelewa sifa za kibwengo anifafanulie please!! Kwa mimi nimeona ni kama editing tu za wananzengo.
  11. Shark

    Antonio Nuggaz ni Mnyama "Pure", Utopoloni alikua anapita tu.

    Fungua hii.
  12. Stephano Mgendanyi

    Anaitwa lidox mnyama (#karagweboy), ametoa wimbo mpya wa unanifaa

    ANAITWA LIDOX MNYAMA (#karagweboy), AMETOA WIMBO MPYA WA UNANIFAA. PLEASE FOLLOW ME ON LINK IS ON MY BIO ENJOY GOOD MUSIC FROM YOUR BOY #karagweboy https://instagram.com/p/CTCzov-K1Ya/ @spotify and @spotifyafrica as Lidox Mnyama u can streem and watch my songs in Spotify...
  13. BAKIIF Islamic

    Kuelekea sikukuu ya EIDIL-HAJJ (Eid al-Adha), jifunze jambo hili...

    Kuchinja mnyama siku hii ya Eid ni moja ya ‘ibadah za Kiislam ambayo inatukumbusha namna ya kumpwekesha Mwenyezimungu (Subhaanahu wa Ta'alaa) na Baraka Zake kwetu, pamoja na kutupa mafunzo ya utiifu wa baba yetu Ibraahiym kwa Rabb wake na kumpwekesha Mwenyezi MUNGU. Hivyo ‘ibadah hii ya kuchinja...
  14. hata mimi

    Kuna madhara yoyote kula nyama ya mnyama aliyeuawa kwa sumu?

    Kuna kuku wangu hapa amekula sumu ya panya nikamkuta amelegea nikamuwahi kumchinja sasa hapa mguu nje mguu ndani kuhusu kumla. Yaani kuna akili inanijia nimuepuke wakati huo si mara ya kwanza kula nyama ya namna hiyo basi nachanganyikiwa tu. Nimeshakula nyama zilizotokana na ajali ya kugongwa...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Huyu ni mnyama gani?

Back
Top Bottom