Ingekuaje mnyama ndio angekula tunda la mti mema na mabaya katikati bustani ya Eden ?

Ingekuaje mnyama ndio angekula tunda la mti mema na mabaya katikati bustani ya Eden ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mfano Nyani, Sokwe, tumbili, Swala, Twiga, Mbuzi, bundi, nguruwe au wanyama wengine wowote wangemuwahi binadamu na kuwa wa kwanza kula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya kutoka mti wa katikati ya bustani ya Eden kungetokea nini ? Na wao wangepata ujuzi wa mema na mabaya na kuwa na utashi kama ilivyotokea kwa binadamu ?

Kuna maagizo yoyote wanyama walipewa na Mungu au na Adamu wasile matunda ya mti wa katikati?

Nani alimpa Hawa maagizo ya kutokula mti wa katikati ya bustani ya Eden? Adamu aliambiwa na mungu asile tu ila Hawa alimuambia shetani wameambiwa wasile wala wasiguse!
 
Back
Top Bottom