Walokole anateseka wakiwa wapi? 😂Huku flying fish ndio chai..
😹😹 na huku wapo wengi kinoma.. tunawatesa na dhambi ya ulevi..Walokole anateseka wakiwa wapi? 😂
Waoneeni huruma japo kidogo.😹😹 na huku wapo wengi kinoma.. tunawatesa na dhambi ya ulevi..
Wanawake wa kichaga wanajiamini na wanajua kuzitafuta hela.Unakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
Wengine hawatongozeki hawana haiba ya kike, Yes unakuta ni mzuri anvutia Ile ukiweka ukaribu naye unaona kama uko na mwanaume mwenzio, hawana mahaba, naweza kusema ni kundi kubwa namba moja Nchini kwa kupigwa vibuti na kutelekezwa. Hivyo pombe inabaki kuwa faraja yao
Wanawake.wengi wakichaga kwanza hawana urembo.wengi wananyoa sababu ya ubahili hivyo mibichwa inakua kama ndege john..hivyo pombe huwapa angalau confidence