Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Thubutu😂😂😂Kwasababu wanajua kutafuta hela na wanajua kuzitumia. Ukumbuke, "Hakuna Mchagga fala"!
Thubutu😂😂😂Kwasababu wanajua kutafuta hela na wanajua kuzitumia. Ukumbuke, "Hakuna Mchagga fala"!
Huu Uzi mbona mnapayuka Sana? Mleta Mada kauliza Tu swali la kawaida mbona povu fastaa?Kuna Pombe yako imepotea Mkuu?
Ni mazoea kutoka zama za mababu zao kama ambavyo kuna koo ni wachawi au wasengenyaji.HALAFU,kulewa ni kazi ngumu inayohitaji hela na akili nyingi (achana na wanaogongea/kudoea).Kama ni rahisi tu,hebu na wewe jaribu.Unakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
Mbona hii Mada inatetewa Sana?😂😂Ni mazoea kutoka zama za mababu zao kama ambavyo kuna koo ni wachawi au wasengenyaji.HALAFU,kulewa ni kazi ngumu inayohitaji hela na akili nyingi (achana na wanaogongea/kudoea).Kama ni rahisi tu,hebu na wewe jaribu.
Umeongea pointi kubwa Sana,ulevi unahitaji uwekezaji mkubwaNi mazoea kutoka zama za mababu zao kama ambavyo kuna koo ni wachawi au wasengenyaji.HALAFU,kulewa ni kazi ngumu inayohitaji hela na akili nyingi (achana na wanaogongea/kudoea).Kama ni rahisi tu,hebu na wewe jaribu.
Ukweli ndiyo umetamalaki.Mbona hii Mada inatetewa Sana?😂😂
Hahaha sawaUkweli ndiyo umetamalaki.
NB;Viumbe wasiokunywa pombe mara nyingi huwa ni wasengenyaji,unafiki,uchonganishi,si wa kweli,vizabizabina na uchawi u-ndani ya nafsi zao.Usiniulize nimejuaje.
Wamejaa machokoraa kibao na wanalewa kila siku, huo ni uwekezaji gani?Umeongea pointi kubwa Sana,ulevi unahitaji uwekezaji mkubwa
Asante.Karibu CMS hapa.Hahaha sawa
WEngi ni independent na wana pesa za kutosha.Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki
Chokoraa halafu ananunua BIA au pombe kali?Mchunguze vizuri anakuchezea akili.Wamejaa machokoraa kibao na wanalewa kila siku, huo ni uwekezaji gani?
Bora umemwambia mleta mada. Huna pesa alafu mwanamke, unywe pombe ili uzime na kubakwa?😂Pombe inataka mtu mwenye pesa..!!
Haukatazwi kutoa tafsiri ya ukionacho.Kama una malienge nani alaumiwe?Wanawake.wengi wakichaga kwanza hawana urembo.wengi wananyoa sababu ya ubahili hivyo mibichwa inakua kama ndege john..hivyo pombe huwapa angalau confidence
😹😹😹Bora umemwambia mleta mada. Huna pesa alafu mwanamke, unywe pombe ili uzime na kubakwa?😂
Kama unajali maisha yako pombe unatakiwa kujiweka mbali nayo. Mita 200 kama mpiga kura wa Tanzania na kituo cha kupigia kura.Unashangaza mno,, pombe ni kitu cha kushangaa??
Naunga MKONO hojaaUnakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?