Hivi kwanini wanawake wa kichaga ni walevi sana?

Hivi kwanini wanawake wa kichaga ni walevi sana?

Wengine hawatongozeki hawana haiba ya kike, Yes unakuta ni mzuri anvutia Ile ukiweka ukaribu naye unaona kama uko na mwanaume mwenzio, hawana mahaba, naweza kusema ni kundi kubwa namba moja Nchini kwa kupigwa vibuti na kutelekezwa. Hivyo pombe inabaki kuwa faraja yao
Hawana sexual appeal
 
Nafikiri unywaji wa pombe ni asili yao (Mbege).
Wanaendeleza kile walichokikuta + Uhuru wa kipato(Wanawake wengi wa kichaga wanajitafutia chapaa pasipo kusubiri waletewe.

Pesa ya kuomba akanywe pombe nani atakayempatia hiyo pesa kila anapohitaji? Si ndo kuishia kuwa manzi wa wanywa pombe/walevi.
 
Kwanza wanawake wa kichaga huwaga sio kwamba wanawahi wanaume wenye pesa..sababu wao wenyewe ni watafutaji wazuri
Familia nyingi za uchagani ni standard life , sasa ukiwa kanjanja apeche alolo kabisa , lazima mwanamke wakichaga akupotezee, unakuta hata baba yake kakuzidi sasa akupeleke wapi hauwezi kuwapa hata wazee wa kichaga chakula🍻?
 
Unashangaza mno,, pombe ni kitu cha kushangaa??

Baadhi ya vitu ni hulka na mazingira ya wahusika

Acha kushoiya una hati babanguuuu
Watu wa porini wakiona mtu anakunywa pombe wao wanashangaa mno, kuna kijiji huko kigoma nilikua naagiza bia kutoka mjini , wakinikuta nakula zangu monde walikua wanashangaa mno
 
Familia nyingi za uchagani ni standard life , sasa ukiwa kanjanja apeche alolo kabisa , lazima mwanamke wakichaga akupotezee, unakuta hata baba yake kakuzidi sasa akupeleke wapi hauwezi kuwapa hata wazee wa kichaga chakula🍻?
Sasa nawapaje chakula nawao ni standard life??...uhalisia wa standard life ni kweli kaskazini hakuna njaa kali
..ila kuhusu mabinti wa kichaga kuliwa mbona easy tu..ila mimi siwez sababu hawana makalio..hilo tu
 
Familia nyingi za uchagani ni standard life , sasa ukiwa kanjanja apeche alolo kabisa , lazima mwanamke wakichaga akupotezee, unakuta hata baba yake kakuzidi sasa akupeleke wapi hauwezi kuwapa hata wazee wa kichaga chakula🍻?
Mi nadhani sio sababu ya ustandard, kwa sababu wanawake wenye hela sio Wachaga peke Yao.
Nadhani ni Asili ya kutukuza pombe inaanzia kwenye mizizi ya familia
 
Back
Top Bottom