min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wewe unawaonaje?wao hawawezi kujitafutia?
Wewe unawaonaje?wao hawawezi kujitafutia?
Kama unataka wapewe chakula na mkwe wao basi hawajiweziWewe unawaonaje?
Ni mamazo yako good job👏👏Kama unataka wapewe chakula na mkwe wao basi hawajiwezi
😂🤣😅😆😁😄😃😀😂🤣😅😆😁😄😃😀😂🤣😅😆😁😄😃😀Wako wapi niende nikawakataze?
mamazo ndio nini?Ni mamazo yako good job👏👏
Sio kwamba waume zao ni wakevi pindukia wanasahau kuwapa haki yao mpaka wanawake wanakimbilia nchi ya jirani?Nyege hawana ndio maana wanaamua tu wajigide na kujimiminia mipombe walale baada ya uchovu wa kutwa nzima
Mawazo yakomamazo ndio nini?
kwanini nyie wachaga hampendi kuoa wanawake wa kichaga😁Mawazo yako
Walevi, wakajenga vizuri kwao? Hao ambao sio walevi nyumba zao mbavu za mbwa , tunawajua vizuri sana ni vile tunafanya utu tu😅Sio kwamba waume zao ni wakevi pindukia wanasahau kuwapa haki yao mpaka wanawake wanakimbilia nchi ya jirani?
Tunapenda na tunaoa , ndio kwanza nasikia kwako leokwanini nyie wachaga hampendi kuoa wanawake wa kichaga😁
Baaaaaaasssss!!! Kuna nini tenaPombe inataka mtu mwenye pesa..!!
😁😁😁😁 upo sahihi kweli unawajuaWalevi, wakajenga vizuri kwao? Hao ambao sio walevi nyumba zao mbavu za mbwa , tunawajua vizuri sana ni vile tunafanya utu tu😅
Tz yote ipo kiganjani mtu ataje kwao tu , nimpe data zao vizuri kulinganisha na sisi walevi wakutupa😅😁😁😁😁 upo sahihi kweli unawajua
huku town kila mchaga kaoa kabila lingine nawataniaga kwanini hamtaki kuoa dada zenu wanasema wanaogopa kufa mapemaTunapenda na tunaoa , ndio kwanza nasikia kwako leo
Faraja ya nini tena, mtu anatumia hela yakeMnajifariji😂😂😂
Town ya wapi? Tunaoana kila siku, nyie ni kiherehere chenu kuoa wanawake ambao kimchakato wameandaliwa kwa malengo ya mchaga tu ndio maana mnatoa milio kama Nokiahuku town kila mchaga kaoa kabila lingine nawataniaga kwanini hamtaki kuoa dada zenu wanasema wanaogopa kufa mapema