Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Acha kumdanganya.Kwani ni wanawake wa kichaga tu ndiyo hunywa pombe nchini mwenu?Naunga MKONO hojaa
Acha kumdanganya.Kwani ni wanawake wa kichaga tu ndiyo hunywa pombe nchini mwenu?Naunga MKONO hojaa
Sasa mbona wewe ndiyo unatoa mapovu...Huu Uzi mbona mnapayuka Sana? Mleta Mada kauliza Tu swali la kawaida mbona povu fastaa?
Pombe sio chai sisi tunakunywa sana ila lazima ujue geji YakoKama unajali maisha yako pombe unatakiwa kujiweka mbali nayo. Mita 200 kama mpiga kura wa Tanzania na kituo cha kupigia kura.
Wachaga sasa wameamka😁😁Haukatazwi kutoa tafsiri ya ukionacho.Kama una malienge nani alaumiwe?
haya maneno sio mageniPombe sio chai sisi tunakunywa sana ila lazima ujue geji Yako
haya maneno sio mageni
Muwaelekeze na wenzenu wanywe responsibly.Mimi sipambani na pombe tunakunywa kwa responsible na tena jioni baada ya kazii
Yaani unywe Smart gin ya buku mbili na gongo useme unalewa,kuna watu kila siku 500k kwenda mbele.Wamejaa machokoraa kibao na wanalewa kila siku, huo ni uwekezaji gani?
Umeongea Kwa uchungu Sana,kila mtu ashinde mechi zakeWanawake.wengi wakichaga kwanza hawana urembo.wengi wananyoa sababu ya ubahili hivyo mibichwa inakua kama ndege john..hivyo pombe huwapa angalau confidence
Hahahaha kula pombe acha uoga bwashee
Nimeanza hapaaHahahaha kula pombe acha uoga bwashee
Wewe uwezo gani kwani ukute upo tamisemi halafu unapigia kelele tu hapaWamejaa machokoraa kibao na wanalewa kila siku, huo ni uwekezaji gani?
😁😁Wanawake.wengi wakichaga kwanza hawana urembo.wengi wananyoa sababu ya ubahili hivyo mibichwa inakua kama ndege john..hivyo pombe huwapa angalau confidence
Achana nao dili na wamatumbi wa kwenuWengine hawatongozeki hawana haiba ya kike, Yes unakuta ni mzuri anvutia Ile ukiweka ukaribu naye unaona kama uko na mwanaume mwenzio, hawana mahaba, naweza kusema ni kundi kubwa namba moja Nchini kwa kupigwa vibuti na kutelekezwa. Hivyo pombe inabaki kuwa faraja yao
Hawana urembo 😁 wanawake wa kichaga hawataki makapuku ndio maana unatoa milio kama simu za Nokia kitochiWanawake.wengi wakichaga kwanza hawana urembo.wengi wananyoa sababu ya ubahili hivyo mibichwa inakua kama ndege john..hivyo pombe huwapa angalau confidence
Sawa ndugu mwangaza 😊🤨😊😊Muwaelekeze na wenzenu wanywe responsibly.
Ni nature ya familia wanazotokaUnakutana na demu mrembo kwelikweli wa kichagga,lahaula kumbe ni cha pombe..
Hivi nini kinawafanya wawe walevi kiasi hiki?
Ngeto yoo iyore nyashi , lekana nayo😅Sasa mbona wewe ndiyo unatoa mapovu...