Wazo la leo: Elfu 20 ya mwanaume ni bora kuliko billion ya Mwanamke

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke.

Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke.

Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion.

Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke, kabakiza jinsia tu, na Hana sifa za kuwa mwanaume(yani dume suruali tu)

Mnaonaje hili ndugu zangu?

Binafsi naona yuko sahihi sana. As a man provision is your birth right.
 
1000575634.jpg
 
Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke.
View attachment 3700652

Busu la Kenge
 
Me toka kanda za gaza tujuane maana tulilelewa kwenye misingi hii na hata sasa tunaidumisha.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Mzee wangu alikuwa anamgeiya mama wa kambo kila kitu, wakati huo huo yule mwanamke alikuwa ana kazi yake inayo mwingizia kipato.

Na sikuwahi kuona yule mwanamke kafanya maendeleo
 
Back
Top Bottom