camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 581
- 1,122
mkuu naomba unijulishe kwani kuna ubaya wowote kuubaliki uzi kwa kutoa dua?Mkuu haunaga maneno zaidi ya haya?
mkuu naomba unijulishe kwani kuna ubaya wowote kuubaliki uzi kwa kutoa dua?Mkuu haunaga maneno zaidi ya haya?
nashukuru sana kwa ilo basi nitaendelea kubariki kila uzi kwa kutoa dua kadiri nitakapopata nafasiHakuna shida yoyote mkuu
hali halisi .....Kwavile tu hizi ni unknown Ids, ni vigumu kuthibitisha Ke ni yupi na Me ni yupi, ila ikiwa leo dada, Kalpana, Shadeeya, Carleen ni Ke halisi basi....
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Aisee🤣Ukipata chance ya kuichakata mbususu hasa zile za Iringa,Kisukuma na Songea au new comer zinazoingia dar,simamia kucha mzee,utakula sana vielfu 10 vyao pale ukiwa na emergency flaniflani,hakuna dhambi ya kula hela ya mwanamke!!!
Ndio Maana nimespecify hapo ni aina Gani ya wanawake,ila kiukweli mwanamke akikuelewa utakula sana hela yake na kwenye kuomba omba hapo atasema,"wewe Kwa kudekaaa 🤣🤣🤣"anyway hizo ni Kwa emergency sio kumtegemea mkuu!!!Aisee🤣
Kwahiyo wewe unawateka wanawake kwa kusimamia ukucha? Ni kweli ila mwanamke ataku dharau sana endapo ukiwa omba omba
Hii ni mindset ya mtu aliye jikatia tamaa. Mwanamke akikuwambia una deka anakudharau sana.Ndio Maana nimespecify hapo ni aina Gani ya wanawake,ila kiukweli mwanamke akikuelewa utakula sana hela yake na kwenye kuomba omba hapo atasema,"wewe Kwa kudekaaa 🤣🤣🤣"anyway hizo ni Kwa emergency sio kumtegemea mkuu!!!
Mwanamke hajawahi kuridhika na Wala usiingie kwenye huo mtego!!!Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke.
View attachment 3700652
Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke.
Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion.
Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke, kabakiza jinsia tu, na Hana sifa za kuwa mwanaume(yani dume suruali tu)
Mnaonaje hili ndugu zangu?
Binafsi naona yuko sahihi sana. As a man provision is your birth right.
Ahahah shauri yako,waandishi wengi hakuna kitu wanajua uhalisia wa field,who cares what somebody else think?unachukua pesa mpaka siku atakaposema imetosha!!!Hii ni mindset ya mtu aliye jikatia tamaa. Mwanamke akikuwambia una deka anakudharau sana.
Mchana kweupeAisee, kwamba mwanaume alaye pesa ya Mwanamke naye ataliwa? Hii kali!
Naomba utoe wasukuma hapo baki na hao wengine!Ukipata chance ya kuichakata mbususu hasa zile za Iringa,Kisukuma na Songea au new comer zinazoingia dar,simamia kucha mzee,utakula sana vielfu 10 vyao pale ukiwa na emergency flaniflani,hakuna dhambi ya kula hela ya mwanamke!!!