Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Nikija nikimpata huyu mrembo, sitaitoa nje kabisa, nitailoweka humo humo ndani mpaka asubuhi.
Kwa uzuri alionao, anafanya mapigo yangu ya moyo yaende mbio sana, nimekuwa kama zezeta, akisema anataka hichi au kile ninampatia.
Hapa nipo najipanga, siku atakayonitunuku, nitailoweka mpaka asubuhi, hakuna kuitoa nje.
Kweli sifa ya mwanaume halisi ni kupenda na kuchukua hatua.