Nimechukua maji ya baraka bure kanisa Katoliki. Mwamposa maji yake ni 1000/- kwa lita.

Nimechukua maji ya baraka bure kanisa Katoliki. Mwamposa maji yake ni 1000/- kwa lita.

Ila hakuna hata moja linalotolewa bure, lazima kuna mtu ataingiliwa tu, kwenye maji kwingine bure kwingine na hela
In fact wajinga ndio waliwao,

maji ni uhai unaweza kiyabariki mwenyewe na ukayatumia kikubariki wewe na uzao wako bila kubabaika na maji ya ushirikina wa wengine 🐒
 
In fact wajinga ndio waliwao,

maji ni uhai unaweza kiyabariki mwenyewe na ukayatumia kikubariki wewe na uzao wako bila kubabaika na maji ya ushirikina wa wengine 🐒
Wewe umebarikiwa kwa moto, kwa udongo, kwa upepo au kwa maji?
 
Maji ya baraka (au maji ya upako) hutumika katika maeneo na mazingira mbalimbali kwa ajili ya kuomba ulinzi, amani, na baraka.

Namna Kuu za Kuyatumia
  • Kujibariki Binafsi: Jifanye alama ya msalaba kwa kutumia maji hayo ukitamka maneno ya imani (kwa mfano: "Kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu. Amina" huku ukiomba usafishwe na uovu).
    Nyumbani: Nyunyiza maji hayo kwenye vyumba na milango huku ukiomba amani, upendo, afya, na kuondoa kila nguvu ya uovu.
    Kwenye Biashara: Nyunyiza mahali pa kazi au biashara kabla ya kuanza shughuli zako ukiziweka kazi za mikono yako chini ya ulinzi na baraka za Mungu.
    Kabla ya Safari: Unaweza kuyatumia au kuyanyunyiza ukiomba ulinzi, mwongozo, na kurudi salama safarini.

Wewe umebarikiwa kwa moto, kwa udongo, kwa upepo au kwa maji?
Gentleman,
Neema na Baraka za Mungu zilizojuu yangu zinatoka katika neno hili hapa chini.

Zaburi 23: 1
"Bwana ndie mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu"

sibabaiki na porojo, ramli au ushirikina mwingine wowote ule katika dunia hii 🐒
 
Na mimi baraka zangu zinatoka katika Zaburi 23:6 Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote.
 
Na mimi baraka zangu zinatoka katika Zaburi 23:6 Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote.
Mungu akubariki sana gentleman,

kumbe,
huna haja ya kubabaika na ushirikina wa wengine au kua miongoni mwa wanaoangamia kwa kukosa maarifa.

Bwana awe pamoja nawe katika njia zako, Aimen 🙏
 
Ye ndie kagundua njia yake na maisha yanaenda hizi kelele unapiga hazitasaidia
 
Taifa limejaa malofa wa kutosha acha yapigwe tu man'gombe....
Eti mtume....aisee...
Kuna kobazi mmoja aliuliza eti mtume mnyakyusa?...hahaha...
 
Back
Top Bottom