katoliki

  1. A

    JamiiForums Tanzania KANISA KATOLIKI walimpenyezea Nyerere taarifa kuwa TISS na Polisi wameua, maiti zimebwagwa BUGANDO, vyeti vya vifo ni feki!

    KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika. TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976. Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki huadhimisha siku ya Marehemu wote yaani Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, kila mwaka tar.02 Nov, na sio ule unafiki wa teki.

    Siku ya Marehemu Wote inayojulikana Kilatini kama Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum, huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 November, ili kuwakumbuka, kuwaenzi na kuwaombea waamini marehemu katoliki wote na waja wa Allah wote waliotangulia mbele ya haki. Mtakubaliana nami kwamba kilichofanyika...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nimechukua maji ya baraka bure kanisa Katoliki. Mwamposa maji yake ni 1000/- kwa lita.

    Mmepewa bure toeni bure. Kwanini mtume Mwamposa auze maji yake? Au anayawekea Chloroquine kuua vijidudu vya Malaria 2 na mapepo wengine wachafu?
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania

    # Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania ## Je, taasisi ya kiroho inapovuka mipaka yake, nani anapaswa kuwajibika? Dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha amani na...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa Katoliki kila Jumapili tunaombea marehemu wote, ila wa Oktoba 29, 2025 tuna maombi maalumu maana waliuawa kikatili

    Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu. Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa hii nguvu inayotumika na kanisa katoliki kuisambaza barua ya "kutakuwa na maombi" Mungu haombwi hivo, kuomba ni spiritual communication

    Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya. Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
  8. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

    Friends and our enemies, KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide. KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim. Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

    Kupitia TEC, Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

    Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue labda hatua zitachukuliwa. Kuhusu ubadhirifu wa fedha Ndani ya kwaya yetu ya Mtakatifu Monika...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Makonda umeamua kulidhihaki Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na La Mitume? Nakushauri katubu mara moja.

    https://www.instagram.com/reel/DdtlWSlO3fWaX2wlo2zPZ2DWdTNEdaBVoB03dQ0/?stkn=MXM4ZDdrMHhya2k3bQ==
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Nawaza tu lakini. Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

    NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU. Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa. 1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

    DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania CCM waliomba kanisa Katoliki kuwaleta CHADEMA katika meza ya maridhiano!

    This is very ridiculous.. Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..! Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE iliyobakia kwa Tundu Lissu KUFIKISHA TAARIFA za maumivu anayopitia ukonga ni NJIA ya kanisa katoliki, je Padri unae msalishaga.

    Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao. Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao. Mfano mtu kama...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV amemteua Mhashamu Wilbroad Kibozi kuwa Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Kondoa

    Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mhashamu Wilbroad Kibozi kuwa Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Kondoa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Askofu wa jimbo hilo, Mhashamu Bernardin Mfumbusa. Kabla ya uteuzi huo, Askofu Kibozi alikuwa akihudumu kama Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Papa wa Kanisa Katoliki umeonyesha unafiki wa wazi wa Uislamu na Waislamu kwa ujumla duniani

    Wakati baadhi ya mataifa ya Kiislamu yakionekana kushirikiana na Marekani dhidi ya utawala wa Kiislamu wa Iran, ni Papa wa Kanisa Katoliki ambaye amesimama wazi kupinga matumizi ya nguvu na kusisitiza njia za amani katika kutafuta suluhisho la kudumu lenye haki kwa mataifa yanayoendelea kukumbwa...
Back
Top Bottom