hili la walevi wa akina Kitima, right?🐒Nawaza tu lakini
Kanisa Katoliki mfumo wake ni tofauti na haya makanisa ya familia au ukoo.Nawaza tu lakini
UNAWAZA KWA KUTUMIA MIGUU??Nawaza tu lakini
unapigwa miti na mwaipopohili la walevi wa akina Kitima, right?🐒
Ndio unachowaza tu huko Eda?Nawaza tu lakini
Huku kuwaza kwako ni matokeo ya kushiba kulikopitiliza! Kula kwa kipimo mjomba.Nawaza tu lakini
Ndani ya serikali ndani ya jeshi ndani ya usalama kuna waumini waliokunywa bendera ya imani Katoliki, kujaribu kutingisha hiyo meza lazima kutaondoka na uhai wa mtu.Hana ubavu wa kulifuta kanisa la ulimwengu. Hilo sio kanisa kama la gwajima, mwamposa and alike ambayo yanasajiliwa mambo ya ndani. Huwezi kufuta kanisa la vatikani utazua mgogoro wa kidiplomasia na nchi ya vatican