Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

huenda nawe ni padre wa kanisa katoliki maana hiyo ndio kazi mnayoipenda zaidi kuliko kuhubiri injili 🐒
Sikujua wewe ni muislam, mdini, mbaguzi, na muuaji unayejulipua kama Alshabab.

Leo ndiyo nimejua. Kumbe kelele na matusi yooote humu kisiasa, unafurahia mateso ya wakristo. Unafaidika kidini na mfumo uliopo kuinyonya Tanganyika
 
Sikujua wewe ni muislam, mdini, mbaguzi, na muuaji unayejulipua kama Alshabab.

Leo ndiyo nimejua. Kumbe kelele na matusi yooote humu kisiasa, unafurahia mateso ya wakristo. Unafaidika kidini na mfumo uliopo kuinyonya Tanganyika
relax gentleman,
huna haja ya kuweweseke na porojo useless kama hizo plz 🐒
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
mnalawiti watoto wadogo wa kiume?
mbona ni fedheha sana, Padre mzima?.

hamjui kutongoza mishangazi na ni watu wazima kabisa?

hii ni maajabu sana aise?

inna lillahi wa inna ilahi rajirun 🐒
Mashehe na maustadh walioshitakiwa kulawiti watoto wa madrasa wako kibao. Tangu Pemba, Unguja, Dar, Tanga nk.

Usodoma ni dhambi iliyoenea dini zote.
 
Lile kanisa sidhani kama usajili wake uko kama haya ya kina gwajima, lusekelo, mwacha, suguye, kakobe, kulola, mwamposa, kasambale, katunzi pale mambo ya ndani ukiamka una hasira zako unafuta kirahisi tu na waumini wake hawana cha kukufanya. Katoliki ni ya dunia nzima imo hadi ndani ya uislam, futa ufutwe!
 
 
Kwanza unawaza na utaanzaje kufuta dola ya urumi kiasi hicho? Dola ya Rumi ingalipo na inatawala dunia. EU tu ni elementi tosha ya Roman empire, njoo Vatican makao makuu ya kanisa si ndiyo utazima fegi? Unawaza kufuta waliounda uislam?
 
Ingewezekana kama serikali 97% wangekuwa ni waislam lakini serikali hii hii wamejaa wakatoliki + Na wingi wa waaumini wa katoliki utataka usitawale
hata kama wakatoliki ni wachache huwezi kufuta, ukijaribu tu utatembea kwa magoti mpaka kwa papa huko vatican ukaombe toba
 
Hana ubavu wa kulifuta kanisa la ulimwengu. Hilo sio kanisa kama la gwajima, mwamposa and alike ambayo yanasajiliwa mambo ya ndani. Huwezi kufuta kanisa la vatikani utazua mgogoro wa kidiplomasia na nchi ya vatican
Atazua mgogoro na dunia sio tu vatican
 
Back
Top Bottom