Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

Over rated by who? Takwimu ndo zinaonyesha kuwa haiwezekani, Huwezi futa imani ya watu ambao ni almost 30%+ ya population ya wapiga kura, haiwezekani. Kwanza wamekukosea nini mpaka Ufute uhuru wao wa imani? Ni mawazo ya kijinga.
kama unajua hivyo kwanini unajadili huu ujinga
 
Sumu haijaribiwi hata siku moja
Kwa taarifa yako kuna nchi nyingi tu duniani ambako Kanisa Katoliki ni "marufuku*. Nakitajia chache ambazo ni China, Mynmar, Afghanistan, Bhutan, Saudi Arabia na Korea Kaskazini.
Unafikiri huko maisha hayaendi?
 
Kwasababu katoliki ni dini kubwa nchini na ni sehemu ya wakristo na serikali ina watendaji wakristo ndani yake. Haiwezekani kutumia wakristo kufuta sehemu ya ukristo.
Inawezekana kufutwa, Catholic iko overrated, nyakati hizi sehemu nyingi duniani haina nguvu tena za kupambana na dola. Waislamu wakifutwa ndio inaweza kuwa vita kwa sababu wao wanaruhusiwa kufanya jihad kwa ajili ya kulinda dini.
 
Tanzania haiwezekani kufuta imani ya ukatoliki kwa sasa. Kwani unaposikia Ukatoliki, unadhani unaanzia wapi na kuishia wapi?
 
Mwenzie alitaka kumuua TL yupo futi sita chini ajiulize yatamkuta yapi?Saddam Hussein,Ghadafi,Iddi Amin,Hitler walikuwa na mkono wa chuma kuliko yeye waliishia wapi?Dunia duara hii
 
Akili ya kibongo kuuaua tu, hatujui kujenga kitu hata tulivyovikuta kabla hatujazaliwa tunafikria kuua tu! Kila tunachokuta tunataka kuua tu, pathetic! Mkoloni aliijenga TZ ilivyo hd leo vingine tumeua na hatujaboresha tunaua tu hata elimu tumeua tunafundisha wauaji waje kuua tu vingine

Ukiona vinang’aa ujue watu wenye akili waliumiza vichwa
 
Inawezekana kufutwa, Catholic iko overrated, nyakati hizi sehemu nyingi duniani haina nguvu tena za kupambana na dola. Waislamu wakifutwa ndio inaweza kuwa vita kwa sababu wao wanaruhusiwa kufanya jihad kwa ajili ya kulinda dini.
Upo sahihi kufutwa inawezekana ila tatizo ni effects zitakazotokea baada ya maamuzi ya kufutwa.

Kwa mfano Kanisa likatangaza vita na serekali mwanajeshi/polisi mkatoliki atasimama upande gani?

Pressure ya kimataifa itakuwaje? Huyo Rais atadumu hata wiki?
 
Back
Top Bottom