Kwa nini unatuuliza sisi? Wewe si chawa wake? Mshauri atoe tamko la kulifuta Kanisa Katoliki. Kulifuta hawezi ila kutoa kauli ya kulifuta anaweza.
Hapo kale, mfalme Nero alipiga marufuku Kanisa Katoliki, na akawaua mitume wa Yesu, cha ajabu, baada ya siku chache, naye aliamua kujiua ili kuwafuata aliowaua. Na Pilato naye alimhukumu kifo Yesu Kristo, Yesu akafufuka, baada ya kupaa mbinguni, Pilato akaamua kujiua, huku mkewe akiamua kubatizwa na kuwa mkristo.