Catholic is over rated, Dola ina mkono mrefu hakuna kinachoshindikana, watu wazitafune uchokoziAlifute kabisa, Ili watu waendelee barabarani. Mbona Daniel Ortega wa Nicaragua anapeleka moto mbaya, pembeni anapata support ya mke wake mchawi.😅 KANISA KATOLIKI halina jeshi Wala halina shushushu kama wengi wanavodanganyana.
Dola ni watu kakaCatholic is over rated, Dola ina mkono mrefu hakuna kinachoshindikana, watu wazitafune uchokozi
Future impossible tenseNawaza tu lakini
Weeee 🤫🤫🤫Nawaza tu lakini
Hawezi kufanya hivyo katu. Kwaiyo umewaza ujingaNawaza tu lakini
Kwa nini?Haiwezekani.
Wala hukuwazaa amethamiria hivyo na umetumwaa uje kutest uone reactionNawaza tu lakini
Ni sawa na kuifuta USA,kitu ambacho hata Wasabato watakupinga,Hadi unabii utimie!Nawaza tu lakini
SAwa dola ina mkono mrefu,bas wajaribu kulifuta uone huo mkono mrefu utakavyochalangwa vipande vipandeCatholic is over rated, Dola ina mkono mrefu hakuna kinachoshindikana, watu wazitafune uchokozi
Kwasababu katoliki ni dini kubwa nchini na ni sehemu ya wakristo na serikali ina watendaji wakristo ndani yake. Haiwezekani kutumia wakristo kufuta sehemu ya ukristo.Kwa nini?
Kuna mambo wala hayana mantiki kuyajadili, kwanza kwanini raisi afanye hivyo ilihali ndani ya jeshi la nchi kuna idadi kubwa tu ya wakatoliki?Mkuu wa nchi nani atapiga kelele yeye kaamua
Wala usiwaze na kuleta vimada vya kichocheziNawaza tu lakini
Over rated by who? Takwimu ndo zinaonyesha kuwa haiwezekani, Huwezi futa imani ya watu ambao ni almost 30%+ ya population ya wapiga kura, haiwezekani. Kwanza wamekukosea nini mpaka Ufute uhuru wao wa imani? Ni mawazo ya kijinga.Catholic is over rated, Dola ina mkono mrefu hakuna kinachoshindikana, watu wazitafune uchokozi
Unawaza Ukiwa WapiNawaza tu lakini