Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

Kulifuta kanisa katoliki italeta mtikisiko mkubwa kiusalama. Hawa ni kudili nao kiakili sana. Hilo kanisa lina waumini wengi ambao wanaungama kwa padri direct. Halafu wako wengi mno nchini... yaani kulifuta ni ngumu.
 
Kitima ukijumlisha akili za ukoo wenu wote hamumfikii, jumlisha na masheikh wote Tanzania. Hakuna anayemfikia kwa IQ. Ndio maana mnakimbilia cheap attacks za kijinga. Mlevi labda mwaipopo aliekatika center bolt.
ok.
tuliza mihemko bas na itapendeza zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom