Ninaliomba Kanisa Katoliki, Asasi za Kiraia, wananchi wote, Waislamu wanaopenda haki na wanachama wa CHADEMA kukilinda chama hicho kwa moyo, nguvu, damu na jasho.
Kusambaratika kwa CHADEMA kwa namna yoyote ile anayoitaka Samia si pigo kwa chama pekee, bali pia kwa taasisi na asasi zote...
KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika.
TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976.
Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye
dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu.
Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
Wakuu, kuna mjadala mzito unaosambaa kwa kasi. kuna habari zinasambazwa Kanisa Katoliki halikutenga siku maalum ya Misa maalum kufuatia ghasia na mauaji ya Zanzibar ya mwaka 2001, tofauti na nguvu inayowekwa sasa kuelekea Oktoba 29.
Kuna ukweli katika hili ?
Update:
Kanisa Katoliki lilitoa...
# Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania
## Je, taasisi ya kiroho inapovuka mipaka yake, nani anapaswa kuwajibika?
Dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha amani na...
Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU.
Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni
Uzinzi
Kuiba Mali za watu
Kutamani Mali/mke wa mtu...
biblia
dhambi
dini
huwa
jukwaa
kanisakanisakatolikikatoliki
kifo
kufanya
kufanya siasa
kukiuka
kuzua taharuki
kwasababu
maagizo
maombi
mungu
nyingine
siasa
taharuki
tec
unafiki
uongozi
vifo
viongozi
walokole
wanafiki
Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya.
Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
Friends and our enemies,
KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.
KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.
Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama...
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia...
Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!.
Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025.
CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
ccm
hilo
kanisakanisakatolikikatoliki
kuanzisha
kumbukumbu
mauaji
mauaji ya oktoba 29
oktoba
oktoba 29
oktoba 29 2025
safari
sana
serikali
serikali na ccm
wanatamani
Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue labda hatua zitachukuliwa.
Kuhusu ubadhirifu wa fedha
Ndani ya kwaya yetu ya Mtakatifu Monika...
Kama Rais hutambuliwa ni Raia namba mojaz ,Kidini, NCHIMBI kwenye KANISA alikua ni Raia wa Umuhimu wake na namba Moja !!.
Ifike Mahali KANISA KATOLIKI, likubali kua Kama mbwai na iwe Mbwai tu!!.
Ukianza Safari ya Nyerere, Mkapa, Magufuli, Philipo, Nchimbi, kwann wanaondolewa kihuni na Kanisa...
Na huyu si mwingine bali ni yule anaebariki Lissu kuteswa gerezani
Leo hii, mtu huyu akipewe option ya kupiga picha na Lissu au Papa wa Kanisa Katoliki, atachagua kupiga picha na Lissu ili tu ajisafishe mbele ya walimwengu
Papa nimemtaja kama mfano tu wa watu wenye ushawishi ambao kila mtu...
This is very ridiculous..
Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..!
Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda...
Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao.
Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao.
Mfano mtu kama...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Baraza la maaskofu limenusa hatari ya genzi
Kitima abadilisha tarehe arudisha nyuma
Asante sana
SAYUNI BOY
Wakati baadhi ya mataifa ya Kiislamu yakionekana kushirikiana na Marekani dhidi ya utawala wa Kiislamu wa Iran, ni Papa wa Kanisa Katoliki ambaye amesimama wazi kupinga matumizi ya nguvu na kusisitiza njia za amani katika kutafuta suluhisho la kudumu lenye haki kwa mataifa yanayoendelea kukumbwa...
Nyerere akaondoshwa, Mkapa akaondoshwa, Magufuli akaondoshwa , Makamo Isidori akaponea chupuchupu, Sahizi kabakia Nchimbi ambaye kama Kanisa kwa kutumia Vyombo vyake, likishindwa kumlinda, naye anaondoshwa
Unajiuliza, ilikuaje Kanisa likashindwa Mlinda Magufuli?.
Haya Kanisa linashindwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.