Uchochezi sasa huu, unataka kusema kitika anajiandaa na 77 ndo maana anataka wawe huru siku hiyo?Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Baraza la maaskofu limenusa hatari ya genzi
Kitima abadilisha tarehe arudisha nyuma
Asante sana
SAYUNI BOY
mo29 ulianzaga hivi ivi..lord dearning yupo wapi?Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Baraza la maaskofu limenusa hatari ya genzi
Kitima abadilisha tarehe arudisha nyuma
Asante sana
SAYUNI BOY
Ni kweli ilianza hivi hivi...mwisho wa siku tukasikia Samia turudishie maiti zetu. 🤣🤣🤣🤣mo29 ulianzaga hivi ivi..lord dearning yupo wapi?
Kakutane na mamako aliyezaa chizi kama weweTukutane barabaran 7/7
Mkuu TEC wala kitima hawahusiani na upadrisho wa jimbo la dar.. tec ninuongozi wa kitaifa na jimbobla dar linauongozi wakeAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Baraza la maaskofu limenusa hatari ya genzi
Kitima abadilisha tarehe arudisha nyuma
Asante sana
SAYUNI BOY
Huyu mtu ni mpumbavu!Dah! Acha papara ndg!
Kumbe ratiba za upadrisho nchi nzima zinapangwa na TEC?
Naam, napenda comment za namna hii na mawazo ya namna hii si kila kitu kuwaza negativeHuenda hiyo siku kutakuwa na tukio la kitaifa na viongozi wakuu wa dini wanaalikwa huko kwahiyo ili kuepusha mkanganyiko tarehe imebadilika.
Wewe unaogopa haki yako?Ni kweli ilianza hivi hivi...mwisho wa siku tukasikia Samia turudishie maiti zetu. 🤣🤣🤣🤣
Ama kweli kenge huwa hasikii mpaka atokwe damu masikioni, hivi mnadhani hii serikali itasita kutumia nguvu kubwa mkiitest? Mnajidanganya Sana.
Nitakuwa kwenye upadrisho tarehe 4 jummosi then ready kwa maandamano 7/7Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Baraza la maaskofu limenusa hatari ya genzi
Kitima abadilisha tarehe arudisha nyuma
Asante sana
SAYUNI BOY
Suala la upadrisho si la TEC ni jbo husika au shirika bonafsi la kitawaAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Baraza la maaskofu limenusa hatari ya genzi
Kitima abadilisha tarehe arudisha nyuma
Asante sana
SAYUNI BOY