Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Ninaliomba Kanisa Katoliki, Asasi za Kiraia, wananchi wote, Waislamu wanaopenda haki na wanachama wa CHADEMA kukilinda chama hicho kwa moyo, nguvu, damu na jasho.
Kusambaratika kwa CHADEMA kwa namna yoyote ile anayoitaka Samia si pigo kwa chama pekee, bali pia kwa taasisi na asasi zote zinazojitokeza kusimamia haki.
Kusambaratika kwa CHADEMA kwa namna yoyote ile anayoitaka Samia si pigo kwa chama pekee, bali pia kwa taasisi na asasi zote zinazojitokeza kusimamia haki.