Kanisa Katoliki lijifunze Kuwalinda Viongozi wa Juu wa Serikali walio Wakatoliki dhidi ya Mafisadi !!

Kanisa Katoliki lijifunze Kuwalinda Viongozi wa Juu wa Serikali walio Wakatoliki dhidi ya Mafisadi !!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Nyerere akaondoshwa, Mkapa akaondoshwa, Magufuli akaondoshwa , Makamo Isidori akaponea chupuchupu, Sahizi kabakia Nchimbi ambaye kama Kanisa kwa kutumia Vyombo vyake, likishindwa kumlinda, naye anaondoshwa

Unajiuliza, ilikuaje Kanisa likashindwa Mlinda Magufuli?.

Haya Kanisa linashindwaje Mlinda Nchimbi??.
 
Nyerere alikufa akiwa na miaka 77 akisumbuliwa na cancer ya damu.

Mkapa alifariki akiwa na miaka 81 kifo cha mshtuko wa moyo.

Magufuli alisumbuliwa na moyo kabla hata hajaenda masomoni Uingereza pia aliendekeza mawazo na ile tabia ya kuchukua kila suala njiani alipopita na msafari akiahidi kulipatia jawabu wakati akijijua anao ugonjwa hatari wa moyo.

Isidory alinusurika kifo cha Covid katika kipindi ambacho watu wengi walifariki kwa maradhi hayo.

Punguzeni hizi akili za chuki na kupenda kutengeneza fitina za mitandaoni, kumbukeni fitina inapoirudia jamii inaambatana na vurugu mbaya sana.
 
kutegemea Kanisa kama litatulinda is too much asking, ni sisi wenyewe kutambua kwamba tuko vitani na kuunda jeshi kujilinda, Kanisa halina nguvu sana kiivyo atleast linapokuja swala la vita ya kijeshi siyo kama kama ilivyokuwa zamani.

hivyo ni kuunda jeshi maalumu kulinda Christians tusisubiri hali kama ya nigeria itufikikie waanze kutuwinda majumbani, mitaani na shuleni kwani wao wanalo jeshi la kimafia na ndio maana waliwatoa wakati wa heka heka za maandamano wakasema atakayeandamana watamkata vichwa, wao wamesha jipanga, ila Christans ndio bado ni naive, lkn wasipoamka watapukutishwa wote, na wamedhamiria kweli ...
 
Kanisa linawaua lenyewe kwa kutokua pro active nankujisahau pale vijana wao wanaposhika Dola wanashindwa kuwakemea kuwapa shinikizo kifuta Sheria mbovu na marekebisho ya katiba Ina favor watawala!!

Katiba tuliyo nayo ndio inazalisha mafisadi na fisadi namba Moja anakua aliekalia kiti hawa engine ni watekelezaji tu!!

Mfano mkapa alipaswa kabisa kuleta Katina mpya itakayobana ufisadi na kuondoa zuio la kushtakiwa Kwa Rais akiwa na akitoka madarakani,lakini kanisa likagonga mvinyo na cheers na mkapa Hadi anaondoka wakasahau hata mauaji ya Zanzibar ya mwembechai ambalo ni doa la mkapa kwenye utawala wake,wakasahau kumwabia atupatie katiba mpya itakayombana kiongozi asifanye mauaji kama Yale ya mkapa!!

Mauaji ya October 29 yamesababishwa na kanisa kabisa coz wao ndio waliosomesha na kilea karibu Marais wote lakini hawakuwasaidia kuandika katiba mpya ambayo imesababisha mauaji haya!!

Marais karibu wote ni zao la kanisa katoliki lakini hawakutaka kutatapua tatizo la katiba wakabaki na vinyaraka uchwara visivyo na macho Wala masikio!!
 
Back
Top Bottom