Makonda umeamua kulidhihaki Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na La Mitume? Nakushauri katubu mara moja.

Hakuna kitu Makonda anaabudu kama madaraka, yuko tayari kufanya au kusema chochote kulinda madaraka yake na ya boss wake. Hilo kanisa lililompa nafasi ya kuhutubia lijiangalie maana huwezi kumpa muovu nafasi ya kulifundisha kanisa.
 
Makonda anajua kuwaendesha puta! Halafu wala hana habari na nyinyi. Anazidi kupaa tu! Ahahahahaha!!
 
Liangalini nyani la Africa lisilo na akili? Hili jinga ni hasara kwa Taifa na kwa waliomzaa. RC ni matapeli kanisa aliloacha Yesu halina uhusiano na wao, hao walikuwa Roman Empire iliyokuja kuanguka wakabadili mbinu ya kutawala hawamjui ht Yesu na wanampinga ndiyo maana wanamwita KRISTU badala ya KRISTO. Bila ht haya kanisa moja takatifu? Kuna utakatifu gani huko kulikojaa ushirikina, uzinzi, ubaguzi, chuki. We ni miongoni mwa wapumbavu mliopumbazwa
 
1790382889726.png
 
Anazidi kupaa kwenye serekali ya mauaji?!
Hakuna Serikali yoyote duniani haijawahi kufanya hivyo. Hata Mungu mwenyewe kaua sana watu wake na ndio maana hata Kanisa lake limeua sana na bado linaua sana na Jumapili wanasali Kanisani. Na kama unabisha kwenye hilo, nitajie nchi moja tu duniani ambayo Serikali yake haijawahi kuua mtu! Moja tu! Usiitaje Vatican. Hiyo ishaua sana
 
Hakuna kitu Makonda anaabudu kama madaraka, yuko tayari kufanya au kusema chochote kulinda madaraka yake na ya boss wake. Hilo kanisa lililompa nafasi ya kuhutubia lijiangalie maana huwezi kumpa muovu nafasi ya kulifundisha kanisa.
Naamini hao kama sio KKKT basi watakuwa Anglican maana hao ndiyo hawawezi kuisimamia kweli ya mungu ni wanafiki mbele ya madhabau zao
 
Hakuna Serikali yoyote duniani haijawahi kufanya hivyo. Hata Mungu mwenyewe kaua sana watu wake na ndio maana hata Kanisa lake limeua sana na bado linaua sana na Jumapili wanasali Kanisani. Na kama unabisha kwenye hilo, nitajie nchi moja tu duniani ambayo Serikali yake haijawahi kuua mtu! Moja tu! Usiitaje Vatican. Hiyo ishaua sana
Sielewi hata unaongea nini, kwahiyo serekali hii ya majizi iliua ili kuendana na serekali nyinginezo duniani?
 
Masahihisho. Nilisema hivi, "Historia inaonesha kwamba HAKUNA Serikali hata moja duniani ambayo haijawahi kuua mtu"! Hata Vatican City wameishaua sana watu ili Kanisa lisimame!
 
Nazungumzia mass killing na sio kuua mtu mmoja boss.
 
Since independence, Tanzania has never experienced that. So cannot comment on that, though I know some other countries around the globe have such experience.
 
Back
Top Bottom