Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Anazidi kubarikiwa na kustawiMakonda anajua kuwaendesha puta! Halafu wala hana habari na nyinyi. Anazidi kupaa tu! Ahahahahaha!!
Anazidi kubarikiwa na kustawiMakonda anajua kuwaendesha puta! Halafu wala hana habari na nyinyi. Anazidi kupaa tu! Ahahahahaha!!
Kwenye lugha yetu ya Kihaya kuna neno *okwitila" likiwa na maana mbili tofauti.Anazidi kubarikiwa na kustawi
SahihiKwenye lugha yetu ya Kihaya kuna neno *okwitila" likiwa na maana mbili tofauti.
Ya kwanza ni "kumharibia mtu mambo yake".
Ya pili ni "kupalilia shamba la njugu mawe kwa kuweka udongo wa kutosha kwenye mche wa njugu mawe ili mche ule uweze kustawisha vizuri njugu mawe kule chini!"
Stori ya kupendeza ni kwamba kwanini maana ya kwanza, inapokuja kwenye maana ya pili inakuwa kinyume chake! Hapo ndio Kuna hadithi ya Makonda na wavimba macho! Ahahahahaha!!
Hata hilo Kanisa lina viongozi baadhi waovu kama huyo Malasusa.Hakuna kitu Makonda anaabudu kama madaraka, yuko tayari kufanya au kusema chochote kulinda madaraka yake na ya boss wake. Hilo kanisa lililompa nafasi ya kuhutubia lijiangalie maana huwezi kumpa muovu nafasi ya kulifundisha kanisa.
Makonda anajua kuwaendesha puta! Halafu wala hana habari na nyinyi. Anazidi kupaa tu! Ahahahahaha!!
Na Lissu akila kitanzi hadi kufa atapaa kuelekea mbinguni sio? NIMEKUSOMA!👍👍👍👍Makonda anazidi kupaa kuelekea kwa shetani.
Wewe ni tahira huna akili.Liangalini nyani la Africa lisilo na akili? Hili jinga ni hasara kwa Taifa na kwa waliomzaa. RC ni matapeli kanisa aliloacha Yesu halina uhusiano na wao, hao walikuwa Roman Empire iliyokuja kuanguka wakabadili mbinu ya kutawala hawamjui ht Yesu na wanampinga ndiyo maana wanamwita KRISTU badala ya KRISTO. Bila ht haya kanisa moja takatifu? Kuna utakatifu gani huko kulikojaa ushirikina, uzinzi, ubaguzi, chuki. We ni miongoni mwa wapumbavu mliopumbazwa