Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru
Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm
Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu
Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13
1. Kulima shamba la miti (kutifua) masaa 12.
2. Kuchapwa viboko 30
3. Kufukuzwa shule
MUNGU NI WETU SOTE
Ili chama chochote au serikali youote hata familia idumu lazima ifate hii principal ya kanisa katoliki kwamba mdogo akifikia hatua ya kushine sana kuliko mkubwa lazima institution husika ife tu.
Ndiyo mana hata hivi makanisa vidogo kama vya akina Mwamposa vina life span ndogo sana mika saba au...
⚠️😳 Kiongozi wa kanisa Katoliki adakwa na vyombo vya usalama Marekani na kuvuliwa wadhifa huo kwa kuishi maisha ya kifahari kwa kufanya utapeli wa zaidi ya shilingi bilioni 1.7 ($650k) ambazo ni michango ya wahisani na waumini kwa ajili ya kusaidia wagonjwa/wahanga wa vita nchini Lebanon...
Wadau hamjamboni nyote?
Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki
Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie
Napendelea zaidi...
Catholics, others respond to mockery of Last Supper at Paris Olympics
In reparation for the blasphemy, Bishop Donald Hying of Madison, Wisconsin, called on Catholics to “fast and pray, renew our devotion to the Eucharist, the Sacred Heart and the Virgin Mary.”/ Credit: "EWTN News Nightly" /...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu tumezoea kuona majengo ya Kanisa Katoliki maeneo mbalimbali yakiwa na muonekano wa kipekee unaoakisi majengo ya asili ya karne nyingi zilizopita.
Lakini ukitazama jengo la Kanisa Katoliki Salasala Dar es salaam muonekano wake uko tofauti kabisa. Yaani...
Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimekuja na mada kama ifuatavyo
Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546)
walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia pamoja na kuidhinisha vitabu 73 - 46 katika Agano la Kale na 27 katika Agano Jipya - ambayo...
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA.
💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪
Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Tafakari…
Siku ya leo Kanisa Katoliki kupitia idara ya habari ya Vatican limetoa waraka mpya unaoitwa "Dignitas Infinita" Miongoni mwa mambo yanayozungumziwa kwenye waraka huo Uliosainiwa na Papa ni pamoja na Msimamo wa Kanisa katoliki katika Kupinga Utoaji Mimba, Kubadilisha Jinsia na Upandikizaji wa...
Wadau hamjamboni nyote
Najiuliza
Makanisa yaliyojitenga yakipinga mafundisho yanayoenda kinyume na maandiko ya Kanisa la Katoliki ndiyo kwa sasa yanaongoza kwa mambo yasiyompendeza Mungu:
Manabii na Mitume feki, Kashfa za mauaji, Imani za Ushirikina, Mifarakano ya kifamilia, Migogoro...
Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali...
Kwenye Suala la kutoa talaka:
Yesu aliwajibu wafarisayo walipomjaribu;
Wakamuuliza: “Basi, kwa nini Musa aliagiza kutoa cheti cha kumfukuza na kumtaliki?”
8 Akawajibu: “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Ninawaambia...
Nayasema haya ni kutokana na kukutana na biblia ya ndugu yangu ambae ni mkatoliki, sasa wakati naisoma nikaona mbona inautofauti.
Utofauti nimeukuta kwenye baadhi ya vifungu ndani ya biblia, japo unakuta maudhui yako sawa ila maneno yanatofautiana.
Mawazo yangu(nikafikiri au ndo zile habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.