Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa...
Hivi hiki chombo cha habari cha Waangalican hakina habari za kuandika kuhusu dini duniani tofauti na za kanisa katoliki.
Hiki chombo sioni kikiandika kuhusu angelican ambayo ndiyo maskani yake kabisa, au Buddha, Uislam, Tao au hata Zen n.k.
Madhehebu ya dini ni mengi tu duniani lakini jamaa...
Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa , ofisi ya mafundisho ya Vatikani ilisema Jumatano, ikijibu maswali kutoka kwa askofu.
Idara hiyo, inayojulikana kama Dicastery of the Doctrine of the Faith, haikuwa...
Wapendwa wadadavuzi na wadadisi, great thinkers, wa hapa JamiiForums na hata visitors nawasihi tuache porojo, tuzame ndani kwenye kuusaka ukweli.
Hii naamini ni mada mbegu itakayo ibua mjadala mpana .
Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume, Pascal Mayalla, Infantry Soldier karibuni tujadiliane.
- Ukomo wa mkataba umekua miaka 30 tofauti na IGA ambayo haikua na ukomo.
-DPW imepewa magati manne tu (no.4 hadi no.7) tofauti na awali ambapo ilipewa magati yote.
- Gati no.0 hadi no.3 yataendeshwa na TPA kwa kushirikiana na DPW. Na gati no.8 hadi no.11 yatatafutiwa mwekezaji mwingine.
-...
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo.
Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa...
Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu.
Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
bisexual
gays
jinsia
jinsia moja
kanisa
kanisa katolikikatoliki
kuhusu
kupotosha
lesbians
lgbt
mambo
mapenzi
mashoga
moja
mspenzi
papa
rasmi
transgender
wapenzi
Ukistaajabu ya Musa hujaona ya Firauni. Hivi majuzi nilikuwa mitaa fulani nikapita karibu na maskani ya padre mmoja wa kanisa katoliki. Kwa mbali nikamuona mwanamke wa makamo anafanya usafi na kulisha mifugo. Haujapita muda mrefu nikakutana na kijana na kumuuliza kama padre yupo akanijibu padre...
Mimi ni muumini wa kanisa tajwa hapo juu, nimekuwa kiongozi wa jumuia kwa kipindi fulani, niliwahi kumfata paroko kishauriana naye mambo kadhaa, na pia kwenye vikao vya kamati tendaji ya kigango nilishauri kukiwa na msiba sadaka ikusanywe mara moja tu.
Kukusanya sadaka mara 2 ule utaratibu...
Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
Salaam!
Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu.
Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi...
Habari wana jamvi.
Hii ndio taarifa juu ya tukio na maamuzi yaliuochkuliwa baada ya watu/ mtu kjvunja , kukufuru na kunajisi kanisa katoliki lililoko Buzirayombo.
Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo...
ELIMU YA PADRE WA KANISA KATOLIKI
(Sehemu ya Kwanza)
Na. John-Baptist Ngatunga
___________________________
Padre wa Kanisa Katoliki kwa kawaida amesoma na kulelewa kwa katika Mfumo ufuatao kwa hapa Tanzania:
Ieleweke toka mwanzoni kabisa kwamba Mapadre tuliona hapa Tanzania wamegawanyika...
Kama ilivyo ada, kila wakati katika kila nchi kuna ajenda ama sakata linalolindima, linaweza kuwa la kisiasa, kijamii ama kiuchumi. Ikiwa sehemu ya nchi zenye Siasa za mlengo wa Kidemokrasia, Tanzania imeingia katika mjadala mkali kati ya Serikali, wadau wa uwekezaji, vyama vya upinzani, asasi...
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu...
Agosti 20, mwaka huu, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), lillibua miadala baada ya kuitaka Serikali kusitisha mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii, kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai (IGA), kwa sababu ya hoja kadhaa, ikiwamo wananchi walio wengi hawakubaliani...
Mwanzo nilijua hili kanisa la kkkt ni level moja na Katoliki lakini kumbe ni KICHUGUU NA KILIMANJARO. Sasahivi nimekuwa mtu mzima ndio najua Kanisa Katoliki halistahili kufananishwa na makanisa mengine, yaani Katoliki ni kanisa la kipekee sana na MISINGI YAKE ILIWEKWA NA MMOJA WA WANAFUNZI WA...
Nilikaa kimya kwa muda baada ya Waraka wa Kanisa Katoliki, nilifanya hivyo ili kuruhusu mitazamo ya wengine katika tafakuri za waraka huu. Kabla sijachambua Waraka huo, Kwanza nithibitishe kuwa NINAUNGA MKONO kwa 100% waraka huo. Na pia kabla sijachambua nimebini kupitia maoni ya watu mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.