haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Mwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa.
Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime glow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.
Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime glow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.