Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Manura Katoka Watu Wapige Mipira Mirefu πππππππππTimu haipo na kipa hayupo!..π
Manura Katoka Watu Wapige Mipira Mirefu πππππππππTimu haipo na kipa hayupo!..π
Kagrow nyuma auππ
Hapo nikikukanyanya hizo pmbu hutoboiπ
Haja glow, yeye ka growEti Ana Glow πππ€¨π«₯πΆππππ«¨
Mwanaume unakuwaje na ngozi laini na Dada zako je, watakuwaje? Mwanaume lazima uwe na ngozi na mwili mgumuMwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa.
Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime glow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.
Kuna vitu vikifanywa na Mwanaume automatically anakuwa disqualified.Wanaume wengi hawajiamini unanaume wao ndio maana kila kitu wanadhani mtu sio mwanaume halisi, very poor thinking.
Bao zote zilizohifadhiwa kwenye mbupu zinamwagika π₯Hapo nikikukanyanya hizo pmbu hutoboiπ
Anasema mwili mzima πKagrow nyuma auπ