Ngozi wanayoihangaikia kinadada kwa vipodozi, mimi Mungu kanipa bure

Mwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa.

Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime grow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.
aisee,
 
Hongera kaka mrembo kwa kuwa na ngozi laini #YBWYB
 
Back
Top Bottom