Ngozi wanayoihangaikia kinadada kwa vipodozi, mimi Mungu kanipa bure

Mwanaume mlaini mwenye ngozi nyororo.
Mleta uzi ana hoja asikilizwe....🙄
 
Mwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa.

Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime glow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.
Dudu baya njoo huku. Kuna muujiza umetokea
 
FB_IMG_17923943479984776.jpg
 
Beautiful boy kwenye ubora wako..!! 😹
Hasu ulipotolea wapi?
Vipi wadada na wakaka wameacha kukusumbua kazini kwa uzuri wako?
amni nakuambia hata wewe ni bonge la boy lenye ngozi nzuri jf hakuna demu
 
Hujakosea, wewe demu peke yako JF na ulivyo na kishundu awww 🔥🔥
Niletee nikikaze kishundu iko miss JF
 
Naona upo bury kujilinganisha kati yako na wanawake wa mtaan kwenu komaa ndugu mashindano yajayo ya miss grand utaenda kushiriki
 
Mwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa.

Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime glow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo uanaume, ni ishara ya kujipenda na afya njema.
"Eti nime glow" heee nyiee hata kama .....😆😆😆😆🤸🏾
 
Back
Top Bottom