Ni upuuzi mtupu, hakuna El Nino. Mnavunja nyumba za watu bure

Ni upuuzi mtupu, hakuna El Nino. Mnavunja nyumba za watu bure

Mvua zinakuja
Sema muda bado . Tutafikiwa tuu..
Swala la El Nino sio la kitanzania nila Dunia
Chakuombea isivuke mipaka
Huko Libya Juzi imewakung'uta ipasavyo na wale wako jangwani, Muda wetu waja Kama uko kweli Bondeni Hama.

Ishu ya kubobolewa ni Mambo yalihitaji tuu hekima sio kama hivyo inavyosemekana ni ghafla. Ikiwa sio sehem sahihi kweli wangepewa Tarehe za kuondoka tena kwa kufatiliwa wenyewe kuliko Hili la hivi.
 
El Nino iko wapi? Mnavunja vibanda vya wabebwa kwenye malori kujaza uwanja, leo mmewageuka. Wanalalamika hawjalipwa fidia
majengo na nyumba zilizo nje ya utaratibu wa kisheria zitaondolewa bila kujali kuna El Nino ama hakuna.
In fact,
ni muhimu zaidi kupanga miji yetu na kua nadhifu wakati wote na inayofikika kirahisi.

Na ukishalipwa fidia, ondoka kwa hiyari bila shuruti, public sympathy isikupumbaze kwasababu haitakusaidia.
Tii sheria bila kificho na itapendeza zaidi :1Head:
 
Mvua zinakuja
Sema muda bado . Tutafikiwa tuu..
Swala la El Nino sio la kitanzania nila Dunia
Chakuombea isivuke mipaka
Huko Libya Juzi imewakung'uta ipasavyo na wale wako jangwani, Muda wetu waja Kama uko kweli Bondeni Hama.

Ishu ya kubobolewa ni Mambo yalihitaji tuu hekima sio kama hivyo inavyosemekana ni ghafla. Ikiwa sio sehem sahihi kweli wangepewa Tarehe za kuondoka tena kwa kufatiliwa wenyewe kuliko Hili la hivi.
Umeongea vizuri, inaweza ikawepo na Mungu akatusaidia tukavuka salama kama ilivyokuwa kwenye majanga mengine, ila hili suala la bomoabomoa limeumiza hata wasiohusika... Mtu yupo mbali na mtaro wa maji na yupo ndani ya bikoni yake ila anaambiwa vunja.
 
Back
Top Bottom