Ni upuuzi mtupu, hakuna El Nino. Mnavunja nyumba za watu bure

Ni upuuzi mtupu, hakuna El Nino. Mnavunja nyumba za watu bure

Ungeijbu Hoja bila kutamka neno Pumbavu .

El Nino Ni Jambo la kidunia Nzima
Hupatikana pale ambako Mabadiliko ya hali ya hewa kwenye bahari ya Pasific karibu na Ikweta.

Huleta hali ya Mvua sana Na joto sana kutoka na sehemu na sehemu.

Hata Kabla serikali haijatangaza hayo mambo watu tushapata tarifa yake kama unaufatiliaji . Hata Hapa JF ililetwaga mada mapema sana kabla hata hao viongozi hawajasema chochote.

Matokeo yake tayari yapo kwa baadhi ya nchi kama juzi Kibya, Jana Uturuki walipata mvua haswa Pia mwezi ulopita Nepal baada ya maporomoko ya barafu yaloleta maporomoko ya matope baada ya joto kali. Hata jizi nimeona wamekubwa na mafuruko mengine

Sasa ambaye wewe sio mpumbavu elewesha watu kwa hoja sio kuishia kusema watu upumbavu peke yake.
kutoka na sehemu na sehemu.


ficha upumbavu wako

sehemu na sehemu na pacific ndio dunia nzima???????????????
 
Hiyo nyumba imevunjwa maeneo gani gentleman?

Ova
Hapo ni mwananyamala/tandale karibu na uwanja wa rasko,bonde lote kuanzia manyanya mpaka sinza nyumba zinavunjwa.
Nahisi walisha lipwa fidia japo wengine walitapeliwa tangia 2020 hv
 
kutoka na sehemu na sehemu.


ficha upumbavu wako

sehemu na sehemu na pacific ndio dunia nzima???????????????
Kumbe nabishana na Jinga.
Umeelewa nimetaja Pasific hapo nikimaanisha nini?
Soma kwakutulia na elewa acha kudandia Mada kindenzi.
 
Kutukana hata sio nshu apa,nyie ndo wale mnaish kwny mito ikija mvua mnahamia juu ya paa mvua zikiisha mnarud ndan then serikali ikija kubomoa mnataka huruma ya wananchi.Sijui hata kama unaelewa wanaobomolewa wamevunja sheria ya mita 30 kutoka kwny njia ya mto ama unaruhusu hisia zikuendeshe kwny mambo ya sheria?!
F_ck you.
 
Back
Top Bottom