cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kabisaaa, kila mtu atafikiwa, hata CCM hawakuamini na wao watafikiwa pindi Lissu anawaambia wakimalizana na upinzani, watahamia kwenu.Tukiwaambia tuandamane nyie mnanunua vyakula na kujifungia ndani haya sasa kiko wapi?? kila mmoja ataguswa kwa namna yake