Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwanini Mungu ambaye haonekani wala hana uhitaji asanye sadaka? Tuzinduke.
Nawasilisha. Kama wahusika hawaibi wala kula sadaka, huu utajiri wanaupata wapi na lini? Kwanini wanapenda sana kuweka matajiri hata wanaopingana na itikadi zao mbele? Kwanini wengi wamo kitanda kimoja na mafisadi na majizi? Kwanini wanawahubiria watu kuwa mbinguni ni kwa walio maskini wakati wao wanaogopa umaskini?