HOJA Gari likiibwa na baadaye kuonekana dereva alipigwa faini akiendesha, inaweza kusaidia kulipata?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?

Kwa kuwa tukio la matumizi ya gari limetokea baada ya muda ambao gari liliripotiwa kuibiwa, je mamlaka husika zinaweza kutumia taarifa hizo (kama tarehe, eneo na maelezo ya kosa) kufuatilia mtu aliyekuwa akiendesha gari hilo?

Naomba ufafanuzi kutoka kwa wadau wenye uelewa wa masuala haya.

1790021466248.png
 
View attachment 3675374
Ndiyo, taarifa hiyo inaweza kuwa clue muhimu kwenye uchunguzi. Kama mfumo unaonyesha tarehe, eneo na kosa lililofanywa pamoja na taarifa za dereva, mamlaka zinaweza kuzitumia kufuatilia aliyekuwa akiendesha gari baada ya kuibiwa. Hata hivyo, taarifa hiyo pekee si lazima ithibitishe kwamba huyo ndiye mwizi; uchunguzi wa polisi unaweza kuunganisha ushahidi mwingine kama eneo, muda na historia ya gari.
 
The doctrine of recent possession ina rise rebuttable presumption kama aliekutwa na hio mali ndo mwizi thus yeye ndo ana burden ya kuprove otherwise.
 
Ni kweli, ila si automatic. Recent possession huweka rebuttable presumption kwa aliyekutwa na mali ya wizi hivi karibuni, hivyo anatakiwa kutoa maelezo ya kuaminika ya namna alivyoipata. Akishindwa, presumption inaweza kufanya kazi dhidi yake.
 
Yes, he/she has to rebut the assumption
 
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?

Kwa kuwa tukio la matumizi ya gari limetokea baada ya muda ambao gari liliripotiwa kuibiwa, je mamlaka husika zinaweza kutumia taarifa hizo (kama tarehe, eneo na maelezo ya kosa) kufuatilia mtu aliyekuwa akiendesha gari hilo?

Naomba ufafanuzi kutoka kwa wadau wenye uelewa wa masuala haya.

View attachment 3675374
Kweli hii nchi iko nyuma. Mambo ambayo nimeyaona miaka 30 iliopita hadi leo hatuwezi kufanya? Iko hivi gari ikiibwa na ukaripoti polisi linaingia kwenye database ya polisi kuwa limeibwa hivyo popote litakapoingizwa kwenye system ya polisi litatoa red flag. Hadi limeweza kupigwa faini ina maana limeingia kwenye database ya polisi.
 
Hiyo mifumo ipo kwa ajili ya kusoma bank statement za kina heche na kudukua maongezi ya wakosoaji wa serikali ila sio kwa ajili ya kutoa huduma
 
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?

Kwa kuwa tukio la matumizi ya gari limetokea baada ya muda ambao gari liliripotiwa kuibiwa, je mamlaka husika zinaweza kutumia taarifa hizo (kama tarehe, eneo na maelezo ya kosa) kufuatilia mtu aliyekuwa akiendesha gari hilo?

Naomba ufafanuzi kutoka kwa wadau wenye uelewa wa masuala haya.

View attachment 3675374
Kuna jamaa yangu aliibiwa gari na kisha kuripoti polisi.
Uchunguzi haukuenda popote. Miaka 3 baadaye aling'amua gari yake imepigwa fine mkoa fulani.
Akawasilisha evidence kituo alichofungulia kesi.

MPelelezi akawa anajiumauma, lakini OC Cid akamweleza jamaa kuwa hiyo fine ni random presumption ya Traffic police kukusanya duhuli za serikali.

Lakini mwezi unaofuata leseni ile ile ikapigwa fine gari nyingine.

Wezi wa magari labda wanashirikiana na polisi ndo maana hata ulie na kusaga meno hupati haki. Labda upenyeze udhia kunako rupia. Mwenye akili na aelewe
 
Ni ujinga tu,ile camera inayoweza ku detect gari inayodaiwa ina uwezo wa ku detect gari ilioibwa au ilioripotiwa kuhusika na jinai yoyote.
Yeah ni kweli mkuu sasa hapa kwetu kuna makando kando mengi sana maana wao wanatumia hayo hayo magari kutekea watu
 
Bongo mifumo haisomani.

Ukipeleka kukagua Toyota IST kituo cha Polisi inasomeka ni Saloon car ila kwenye mifumo ya TRA,card ya gari hilo inaonesha ni Hatchback!!😀
mkuu toka mama aseme mifumo isomane, mpaka leo mifumo bado haisomani , kuna afya kweli kwenye taifa hili?
 
Duuh kwahyo ukinunua gari kuna kuibiwa tena...... Bora nianze kwanza kujenga, nyumba haiwezi kuibiwa
hata huko kwenye nyumba unaweza kuja pata kesi umevamia eneo la watu na kujenga, kesi za ardhi zipo kibao tu, 😁
 
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?

Kwa kuwa tukio la matumizi ya gari limetokea baada ya muda ambao gari liliripotiwa kuibiwa, je mamlaka husika zinaweza kutumia taarifa hizo (kama tarehe, eneo na maelezo ya kosa) kufuatilia mtu aliyekuwa akiendesha gari hilo?

Naomba ufafanuzi kutoka kwa wadau wenye uelewa wa masuala haya.

View attachment 3675374
Kwa taarifa hii tukiwa Na ma IT waliochangamka baada ya miezi michache kama tutaamua wizi WA magari utapungua Sana , zile taarifa Za kureport wizi WA magari zingeunganishwa Moja Kwa Moja Na online police traffic check system Nina uhakika wezi wasingekuwa wanakatisha hata km 10, mfano huyu, technical kama mfumo ungekuwa active huyo police aliandika hiyo penalty angeshajua Hii Gari imeibwa
 
Bongo mifumo wala haisomani. Mtu akikamatwa Mbweni akawekwa lockup. Nyie huku Ilala mkienda kutoa taarifa polisi ndugu yenu haonekani........hakuna namna ya kujua kama anashikiliwa kituo chochote cha polisi.
 
nipo nafikiri kwamba tuanze kurekebisha wapi? mfumo wa elimu? maana zile project za chuo upande wa kozi hizi za teknolojia upo vipi kuna ukusanyaji jumuishi wa project kutatua shida zilizopo? na kupelekwa kwenye vituo husika kama mapendekezo? maana teknolojia imekua lakini hapa kwetu sisi bado tupo nyuma sana, hata huduma unayoomba kwa mtandao kama mwisho wake unaenda kucollect document ofisi husika amini usiamini unaweza ambiwa nenda nje kule kaprint hiyo screenshot ya hiyo page tuletee ndo tukutafutie document huu si utapeli? --- sio kwamba mpaka sasa kupitia anuani za makazi tungekua kama huko nje kwamba ile document hata unatumia mpaka kwenye makazi yako? safari ni ndefu je tunapiga hatua?

kuna makala zile za uchunguzi na kesi za kipolisi kule marekani pale youtube, jambo ulilolitaja washawahi kulieelezea kuna wahalafu walikua wanapiga matukio yaleyale ya pattern haibadiliki, ila wanafanya uhalifu katika majimbo tofauti wakipiga tukio tanga, tukio linalofata rukwa, kagera, lindi, mwanza, dodoma --- sasa kote huko kesi zinakua zimefunguliwa na uchunguzi unaendelea ila majimbo yote hayo polisi hawana taarifa kwa kua mifumo hiyo kila jimbo lilikua linajitegemea,

walikuja kustuka kwa bahati nasibu madetective wa jimbo moja walienda jimbo lingine kufuatilia kesi nyingine kufika kule kwenye story za hapa na pale wakasikia tukio linalofanana na la jimboni kwao, kuchungua wahusika ndo walewale na kuuliza majimbo kadha napo kuna kesi zilezile zipo pending --- wakaunganisha mifumo

huku kwetu hiyo dira 2050 tunaweza fika na bado hali hiyo ipo hivyohivyo
 
Kila Mtu anaangalia ugari wake,Hamna uzalendo
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom