hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo
Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha
NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake.
Baadhi ya vipengele vya hotuba yake:
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
Nawasalimu nyote.
Ndugu zangu nimetapeliwa katika mazingira ya kutatanisha ambayo mpaka sasa wahusika wanapatikana nimepeleka taarifa kituo cha polisi kimsingi mpaka leo sijapata msaada nawaombeni mwenye kuweza au kujua namna ambavyo naweza kufanikisha hili anisaiidie maana nimepoteza hela...
Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga kote na mnavhezea panga yente yente kama zote kama kawaida.
Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na...
TANGAZO LA KUIBIWA
Ningependa kuwataarifu umma kuwa nimeibiwa vitu vifuatavyo:
1. Laptop (2)
Aina: "HP Pavilion, & HP Hewlett
Rangi: ( moja ina rangi ya kijani na nyingine ina rangi ya silver
2. Vyeti vya Taaluma
*cheti cha Diploma in records and archives management
*cheti cha computer...
Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾
Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama hutambui manunuzi haya piga namba: 0800110153/4
NOTE: Bei anayopewa mkulima ni hio 76,701.33 ila ki...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamendamana wakiwa na mabango katika ofisi za makao makuu ya chama kwa kile wanachodai kuwepo kwa wizi wa kura na rushwa katika uchaguzi wa kura za maoni.
Wanachama hao kutoka Chanika, Buguruni, Tandika, na...
Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni, ameelezea wasiwasi wake kuhusu mchakato wa ajira serikalini unaotegemea ‘connection’, akidai kuwa mfumo huu unazalisha watumishi wasiokuwa na sifa zinazostahiki, hivyo kusababisha hasara kwa serikali.
"Wengi wanaamini ajira bila connection haipatikani...
Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni, amemtaka Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi komesha kero ya wizi katika Shehia ya Kikwajuni Bondeni. Mhandisi Masauni ameyasema hayo mapema jana, Oktoba 28, 2024, wakati akihitimisha ziara yake ya...
Mnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia.
Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha?
Jee hii CCM inayofanya mambo...
Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake.
Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila amesema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa...
Jeshi la Polisi
Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu.
Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
Kununua bidhaa online au Kutoa pesa Kwa Kadi ya ATM Equity utajuta kuwajua nilitoa pesa kwa visa Sydney, Australia naona makato yamekuja 110,000 TSH.
NB: Eeh ndugu usijaribu kutumia Kadi pendwa toka Equity bank
Zimbabwe
Alhamisi iliyopita, wezi waliiba dola milioni 4.4 kutoka tawi la benki ya Ecobank huko Bulawayo katika tukio ambalo linadaiwa kuwa wizi mkubwa zaidi wa benki katika historia ya Zimbabwe. Uhalifu huu wa ujasiri umekamata fikra za taifa, na vyombo vya habari vya ndani vimejaa maelezo ya...
Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na udongo ,wewe unampa pesa.
Ukirudi nyuma utapeli huu haukuanza leo ulianza kale wamisionari...
Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani?
Iko hivi, juzi umeme kwangu uliisha usiku, nikasema ninunue umeme wa elfu 5, ukagoma. Nikajua labda pesa haitoshi, nikiongeza elfu...
Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.