Kuna Wizi ili mtu aunganishiwe umeme na Tanesco!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,813
Reaction score
3,430
Ukimaliza kufanya Wiring, ili upate mita ya Tanesco,unatakiwa utumie wakala( Mkandarasi ) ili kuingiza maombi yako kwenye mfumo!
Wizi hawa Wakandarasi au Mawakala wanachaji kiasi chochote cha pesa,hawatoi risiti yoyote kwa mteja! Huu ni wizi na Tanesco wanaelewa kuwa Wakandarasi wanaumiza wananchi lakini hawatoi Muongozo!

Waziri Mkuu anapopendekeza tuwekewe umeme kwa Tzs 27,000 aelewe kuwa hela hizo hata kumlipa mkandarasi tu zinafika mpakaTzs 80,000!

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
 
Habari, ndugu mteja.

Kwanza ni vizuri kuelewa wiring haipo kwenye wajibu wa TANESCO, huo niwajibu wako kuhakikisha nyumba yako ina mfumo utakaowezesha TANESCO kukuunganisha na umeme.

Aidha, gharama za kufanya wiring zinatofautiana kwa nyumba moja na nyingine kulingana na ukubwa. Kwa kawaida mkandarasi aliyefanya wiring ndiyo anakupa pia mchoro ambalo ni takwa muhimu.

Pia kwa mteja ambaye Anatumia umeta kwake hahitaji wiring. Hivyo ni vizuri kuchagua mkandarasi kulingana na mahitaji yako na kuelewa dhana ya kuwa na mkandarasi.

Siyo sahihi kila jambo limhusu TANESCO mengine yapo upande wenu Kama wateja.

Asante. ^FL
 
Swali rahisi ni kua mteja anaweza kuingia online akaomba umeme yeye mwenyewe bila kutumia wakala?
 
Ipo ivi ili tanesco wakuunganishie umeme inatakiwa mkandalasi asambaze waya kwenye NYUMBA yako aweke mchoro na kujaza fomu unayoomba mtandaoni sasa unakuta wewe umetumia fundi wa mtaani asie tambulika na ewura mkandalasi hapo lazima umlipe ili abebe dhamana
 
Nilishangaa hili jambo sana ni wizi tu ule mbona Nchi zingine hakuna huu ujinga aisee..
 
Habari, ndugu mteja.

Kwanza ni vizuri kuelewa wiring haipo kwenye wajibu wa TANESCO, huo niwajibu wako kuhakikisha nyumba yako ina mfumo utakaowezesha TANESCO kukuunganisha na umeme.

Aidha, gharama za kufanya wiring zinatofautiana kwa nyumba moja na nyingine kulingana na ukubwa. Kwa kawaida mkandarasi aliyefanya wiring ndiyo anakupa pia mchoro ambalo ni takwa muhimu.

Pia kwa mteja ambaye Anatumia umeta kwake hahitaji wiring. Hivyo ni vizuri kuchagua mkandarasi kulingana na mahitaji yako na kuelewa dhana ya kuwa na mkandarasi.

Siyo sahihi kila jambo limhusu TANESCO mengine yapo upande wenu Kama wateja.

Asante. ^FL
Mimi nadhani ili kuondoa hii kero inabidi baada ya wiring mteja atume maombi TANESCO halafu anapokuja surveyor site kuangalia namna ya kuunganisha umeme huyohuyo asimame kama mkandarasi wa kukagua wiring imefanyikaje kuliko hawa wakandarasi ambao wako zao mtaani wanakupitishia maombi huku hata site yako hawajui ilipo

Hiki kitu mnakijua sana kwamba hao mnaowaita wakandarasi sio wanaofanya hizo wiring bali ni wajanja wajanja tu waliofungua viofisi vyao kwa ajili ya kupitisha maombi tu
 
Swali rahisi ni kua mteja anaweza kuingia online akaomba umeme yeye mwenyewe bila kutumia wakala?
Habari ndugu mteja,

Asante kwa kuwasiliana nasi, tunapenda kukufahamisha, ndio mteja anaweza kuingia mtandaoni na kufanya maombi bila kutumia wakala, TANESCO tumeimaarisha huduma ya wewe kuweza kufanya maombi ya kuunganishiwa umeme kwa kutumia mfumo bora wa Nikonekt popote ulipo na wakati wowote, Unaweza kufanya maombi kwa njia zifuatazo:

1. Tovuti ya NIKONECTI (Nikonekt.tanesco.co.tz)
2. Programu ya Nikonekt (Ipo Play store na Apple store)
3. Kubofya *152*00# {Kubofya *152*00#
-Ingia namba 4 (Nishati, Madini, Usafiri)
-Ingia namba 4 (TANESCO)
-Ingia namba 1 (Ombi Jipya la umeme)}
4. Kwenye ofisi za TANESCO. Asante.^MY
 
Ukimaliza kufanya Wiring, ili upate mita ya Tanesco,unatakiwa utumie wakala( Mkandarasi ) ili kuingiza maombi yako kwenye mfumo!
Wizi hawa Wakandarasi au Mawakala wanachaji kiasi chochote cha pesa,hawatoi risiti yoyote kwa mteja! Huu ni wizi na Tanesco wanaelewa kuwa Wakandarasi wanaumiza wananchi lakini hawatoi Muongozo!

Waziri Mkuu anapopendekeza tuwekewe umeme kwa Tzs 27,000 aelewe kuwa hela hizo hata kumlipa mkandarasi tu zinafika mpakaTzs 80,000!

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
Ukitaka wakupe hiyo risiti hutaweza kulipia, tunazolipa ni kusaidiana tu. Kimsingi yule wakala anapaswa kuwa electrical engineer au technician.
 
kimsingi mkandarasi (huyo uliyemlipa) anatakiwa afike home kwako akague wiring yote iliyofanywa na 'fundi', kisha atie mhuri/saini pale chini
 
Mimi nadhani ili kuondoa hii kero inabidi baada ya wiring mteja atume maombi TANESCO halafu anapokuja surveyor site kuangalia namna ya kuunganisha umeme huyohuyo asimame kama mkandarasi wa kukagua wiring imefanyikaje kuliko hawa wakandarasi ambao wako zao mtaani wanakupitishia maombi huku hata site yako hawajui ilipo

Hiki kitu mnakijua sana kwamba hao mnaowaita wakandarasi sio wanaofanya hizo wiring bali ni wajanja wajanja tu waliofungua viofisi vyao kwa ajili ya kupitisha maombi tu
Habari ndugu mteja,

Asante na tumepokea maoni haya, tungependa kukufahamisha kuwa TANESCO tumefanya wepesi zaidi kwa wateja wapya wanaohitaji kupata taarifa za wakandarasi wenye vyeti/leseni kutoka EWURA.

Unaweza kupata taarifa za wakandarasi karibu na eneo lako kwa kutumia tovuti yetu ya Nikonekt.tanesco.co.tz, ingia Orodha ya Wakandarasi (List of contractors), utafanikiwa kupata taarifa hizo ikiwemo namba za mawasiliano.

Tungependa kukufahamisha pia, ndugu mteja, kuwa makubaliano kuhusu gharama za wiring ni kati yako na mkandarasi wako. Hivyo, ni vizuri kuzungumza naye moja kwa moja ili kufikia makubaliano yanayowafaa wote.

Asante.^MY
 
Nilishangaa hili jambo sana ni wizi tu ule mbona Nchi zingine hakuna huu ujinga aisee..
Mkuu nchi nyingine hakuna nini? Iko hivi wiring unatakiwa kufanyiwa na electrical engineer aliesajiliwa. Hizo nchi unazosema hakuna si kweli ila wewe umekutq nyumba ishajemgwa na hayo mambo yamefanyika.
Sasa wengi nyumba zao wanajenga kienyeji ndio mtu anaambiwa lete mchoro wa wiring engineer anaupasisha kwa taaluma yake unafungiwa umeme. Engineer anachaji hela yake ndio hio watu wanalalamika.
 
Mkuu kwenye kutafuta maisha vinchi vya Malawi na Zambia kujenga sio big ishu unaamua kujenga au kununua nyumba ndogo ili kupunguza makali ya kodi hivyo vitu havipo na nimefanya mwenyewe Tanzania nalipia muhuri wa Engineer wakati hata hao Tanesco wanajua wiring haijafanywa na yeye na hao vishoka wapo na ofisi zao zipo karibu na Tanesco...
 
Back
Top Bottom