RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Sawa.Mkuu kwenye kutafuta maisha vinchi vya Malawi na Zambia kujenga sio big ishu unaamua kujenga au kununua nyumba ndogo ili kupunguza makali ya kodi hivyo vitu havipo na nimefanya mwenyewe Tanzania nalipia muhuri wa Engineer wakati hata hao Tanesco wanajua wiring haijafanywa na yeye na hao vishoka wapo na ofisi zao zipo karibu na Tanesco...