WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
Aug 15, 2026
Manyara

WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak
Naye mkulima mwekezaji Bi. Jeta aelezea sakata zima la tukio hili la shamba, zana za kilimo na kiwanda cha sukari guru kuchomwa moto.

Wananchi wa kijiji cha Kiru Six wilsya ya Babatu mkoani Manyara wandaiwa kuchoma moto shamba la mkulima wa miwa linalomilikiwa na Dudumera Estate na kusabisha harara kubwa. Jeshi la polisi na kzmati ya ulinzi na usalama yafika katika eneo hilo

Eneo: Kijiji cha Kiru Six, Wilaya ya Babati. Mkoa: Manyara. Tukio: Kuchomwa moto kwa shamba la miwa, zana za kilimo na kiwanda linalomilikiwa na mwekezaji wa Dudumera Estate.

Polisi inawashikilia watu 16 kutokana na tukio hilo la kuchoma mali za mkulima mwekezaji wa ndani.

Historia:

Rasmi eneo la Kiru valley chini ya Dudumera awali lilimilikiwa na mkulima wa kigiriki Bw. George Six kwa muda mrefu wakati wa ukoloni .
Baadaye 1997 kulikuwa na wakulima 34 wa kibiashara, wengi wao wakiwa wenye watanzania wa asili ya Asia katika bonde lote la Kiru, eneo linaloanzia karibu na Babati hadi ufuo wa kusini wa Ziwa Manyara. Hata hivyo, katika mashamba mengi si ardhi yote iliyolimwa.

Taarifa zilizokusanywa zilikuwa na ukweli kwamba eneo hilo lilifunguliwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia 1945, wakati wakulima wazungu walowezi, wakiwemo wanajeshi walioondolewa kazini baada ya vita kuu ya pili kuisha 1945, walihamishiwa huko kama kiinua mgongo chao kwa uwezeshaji wa serikali ya kikoloni ya Uingereza kushinda vita.

Wakati wa uvamizi wa walowezi weupe, labda hadi mwanzoni mwa miaka ya 1970, mashamba yalikuwa mashamba ya kawaida ya walowezi akiwemo Bw. George Six.

Walifurahia vifaa vya kisasa vya umwagiliaji, na walizalisha kahawa, maharagwe, mahindi, na matunda, huku wengine wakiwa wafugaji wa ng'ombe.

Mabadiliko ya umiliki kutoka kwa walowezi weupe wa Ulaya hadi watanzania wa asili ya Waasia, nayo yalibadilisha mandhari kutoka mashamba ya kahawa na matunda mabichi hadi mashamba ya miwa.

Kwa bahati mbaya, miwa iliyopandwa haikutumika kuzalisha sukari ya fuwele inayohitajika sana, bali jaggery (sukari guru) ambayo ni malighafi muhimu kwa ajili ya uzalishaji wa vinywaji vya pombe na wanakijiji wa karibu na katika maeneo ya jirani.

Ilikuwa ni kwa sababu ya uwezekano mkubwa wa miwa ndipo IPI ilitenga eneo hilo kwa ajili ya usindikishaji wa miwa ya sukari guru kupitia viwanda vidogo vya sukari katika juhudi za kukuza teknolojia hiyo na pia kutoa sukari ya fuwele au ya mezani kwa soko la ndani.

N.B

The suit land is declared the lawful property of the late Uka Chana Modhiwadia, as the administrator of the estate of the late Uka Chana Modhiwadia. The Appellant is hereby ordered to proceed with administration of 18 | P a g e the Estate by distributing the suit land to the lawful heirs. Considering this to be a family dispute, I desist from making any orders as to costs. Order accordingly. Y. B. Masara JUDGE 27th August, 2021 19 I P a g e

Natha Chana Modhiwadia (suing As the Administrator of the Estate of the Late Chana Uka Mdhiwadia) vs Jashu Jeta (as the Administratix of the Estate of the Late Jeta Chana Modhiwadia) (Land Appeal 14 of 2020) [2021] TZHC 6942 (27 August 2021) - vs Jashu Jeta (as the Administratix of the Estate of the Late Jeta Chana Modhiwadia) (Land Appeal 14 of 2020) [2021] TZHC 6942)​

Source : Natha Chana Modhiwadia (Suing As The Administrator Of The Estate Of The Late Chana Uka Mdhiwadia) Vs Jashu Jeta (As The Administratix Of The Estate Of The Late Jeta Chana Modhiwadia) (Land Appeal 14 Of 2020) [2021] Tzhc 6942 (27 August 2021)
 
Eeh mambo ya ardhi ndio kiboko kweli kweli. Hizi story za mwekezaji na wananchi hazina mwisho, kila mkoa unakuta mgogoro mwingine. Na hii ya kuchoma shamba ni hatari sana bana, maana ukichoma moto unaharibu kila kitu hata kwa mwekezaji mwengine anayetaka kuja kuwekeza ataogopa. Lakini pia naelewa wananchi wanapofrustrate, maana wanaona shamba lao linachukuliwa na wao wanabaki kando. Sijui hii wilaya ya Ba Vifo (sijui nimeisoma sawa) ina historia gani ya ardhi, lakini kuna watu wamechoka kuonekana wanaambiwa tu "hamsikii". Ni huzuni kweli, maana pande zote mbili zina hoja zake. Mwekezaji ameingia na leseni, lakini wananchi wanaendelea kuishi. Hii inahitaji serikali kuingilia kati kwa busara, si kutumia nguvu tu.
 
Mkuu wa mkoa alivyojaribu kutatua mgogoro katika ya mkulima mwekezaji na wavamizi wa shamba

TOKA MAKTABA
23 May 2026

DIWANI ATAPISHWA NYONGO : RC QUEEN SENDIGA AWAPA SIKU 7 WAVAMIZI KUONDOKA

View: https://m.youtube.com/watch?v=LEDISfgg5Ss

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga alipofanya kikao kusikiliza madai mbalimbali ya mkulima mkulima mwekezaji Bi. Jeta na wananchi wa Kiru Six Valley Babati mkoani Manyara
 
TOKA MAKTABA :

21 May 2026

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga alivyopambana kutatua mgogoro wa ardhi

View: https://m.youtube.com/watch?v=dqeVEgadxDI

Mkuu wa mkoa wa Manyara, RC Queen Sendiga, ametoa siku saba kwa kaya 80 zilizojenga ndani ya eneo la mwekezaji wa Shamba la Dudumera lililopo kati ya Kata za Magugu, Kiru na Maisaka katika Wilaya ya Babati kuondoka katika eneo hilo, akionya kwamba Serikali itachukua hatua za kuwaondoa ikiwa watakiuka agizo hilo.
 
Watanganyika wameingia kwenye siasa ya "Resistance" next ni Ngorongoro
 
Aug 15, 2026
Manyara

WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak
Naye mkulima mwekezaji Bi. Jeta aelezea sakata zima la tukio hili la shamba, zana za kilimo na kiwanda cha sukari guru kuchomwa moto.

Wananchi wa kijiji cha Kiru Six wilsya ya Babatu mkoani Manyara wandaiwa kuchoma moto shamba la mkulima wa miwa linalomilikiwa na Dudumera Estate na kusabisha harara kubwa. Jeshi la polisi na kzmati ya ulinzi na usalama yafika katika eneo hilo

Eneo: Kijiji cha Kiru Six, Wilaya ya Babati. Mkoa: Manyara. Tukio: Kuchomwa moto kwa shamba la miwa, zana za kilimo na kiwanda linalomilikiwa na mwekezaji wa Dudumera Estate.

Polisi inawashikilia watu 16 kutokana na tukio hilo la kuchoma mali za mkulima mwekezaji wa ndani.

Historia:

Rasmi eneo la Kiru valley chini ya Dudumera awali lilimilikiwa na mkulima wa kigiriki Bw. George Six kwa muda mrefu wakati wa ukoloni .
Baadaye 1997 kulikuwa na wakulima 34 wa kibiashara, wengi wao wakiwa wenye watanzania wa asili ya Asia katika bonde lote la Kiru, eneo linaloanzia karibu na Babati hadi ufuo wa kusini wa Ziwa Manyara. Hata hivyo, katika mashamba mengi si ardhi yote iliyolimwa.

Taarifa zilizokusanywa zilikuwa na ukweli kwamba eneo hilo lilifunguliwa baada ya Vita vya Pili vya Dunia 1945, wakati wakulima wazungu walowezi, wakiwemo wanajeshi walioondolewa kazini baada ya vita kuu ya pili kuisha 1945, walihamishiwa huko kama kiinua mgongo chao kwa uwezeshaji wa serikali ya kikoloni ya Uingereza kushinda vita.

Wakati wa uvamizi wa walowezi weupe, labda hadi mwanzoni mwa miaka ya 1970, mashamba yalikuwa mashamba ya kawaida ya walowezi akiwemo Bw. George Six.

Walifurahia vifaa vya kisasa vya umwagiliaji, na walizalisha kahawa, maharagwe, mahindi, na matunda, huku wengine wakiwa wafugaji wa ng'ombe.

Mabadiliko ya umiliki kutoka kwa walowezi weupe wa Ulaya hadi watanzania wa asili ya Waasia, nayo yalibadilisha mandhari kutoka mashamba ya kahawa na matunda mabichi hadi mashamba ya miwa.

Kwa bahati mbaya, miwa iliyopandwa haikutumika kuzalisha sukari ya fuwele inayohitajika sana, bali jaggery (sukari guru) ambayo ni malighafi muhimu kwa ajili ya uzalishaji wa vinywaji vya pombe na wanakijiji wa karibu na katika maeneo ya jirani.

Ilikuwa ni kwa sababu ya uwezekano mkubwa wa miwa ndipo IPI ilitenga eneo hilo kwa ajili ya usindikishaji wa miwa ya sukari guru kupitia viwanda vidogo vya sukari katika juhudi za kukuza teknolojia hiyo na pia kutoa sukari ya fuwele au ya mezani kwa soko la ndani.

N.B

The suit land is declared the lawful property of the late Uka Chana Modhiwadia, as the administrator of the estate of the late Uka Chana Modhiwadia. The Appellant is hereby ordered to proceed with administration of 18 | P a g e the Estate by distributing the suit land to the lawful heirs. Considering this to be a family dispute, I desist from making any orders as to costs. Order accordingly. Y. B. Masara JUDGE 27th August, 2021 19 I P a g e

Natha Chana Modhiwadia (suing As the Administrator of the Estate of the Late Chana Uka Mdhiwadia) vs Jashu Jeta (as the Administratix of the Estate of the Late Jeta Chana Modhiwadia) (Land Appeal 14 of 2020) [2021] TZHC 6942 (27 August 2021) - vs Jashu Jeta (as the Administratix of the Estate of the Late Jeta Chana Modhiwadia) (Land Appeal 14 of 2020) [2021] TZHC 6942)​

Source : Natha Chana Modhiwadia (Suing As The Administrator Of The Estate Of The Late Chana Uka Mdhiwadia) Vs Jashu Jeta (As The Administratix Of The Estate Of The Late Jeta Chana Modhiwadia) (Land Appeal 14 Of 2020) [2021] Tzhc 6942 (27 August 2021)

Asante wananchi
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 4
TOKA MAKTABA :

21 May 2026

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga alivyopambana kutatua mgogoro wa ardhi

View: https://m.youtube.com/watch?v=dqeVEgadxDI

Mkuu wa mkoa wa Manyara, RC Queen Sendiga, ametoa siku saba kwa kaya 80 zilizojenga ndani ya eneo la mwekezaji wa Shamba la Dudumera lililopo kati ya Kata za Magugu, Kiru na Maisaka katika Wilaya ya Babati kuondoka katika eneo hilo, akionya kwamba Serikali itachukua hatua za kuwaondoa ikiwa watakiuka agizo hilo.

Haka kamama wajinga tu ndio huwa wanakaona kachapakazi ila mimi huwa nakaona kana ubabe wakijinga nan jeuri na kibri na kanapenda kufoka foka muda wote hakana busara wala hekima kanaongea na watu wazima kama kanaongea na vitoto vyake
 
Back
Top Bottom