mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari za wakati huu, Hapo eneo moja lililopo Dodoma mjini kuna Mama aliuziwa kiwanja miaka ya tisini huko kama sio mwanzoni mwa elfu mbili hivi. Sasa akajenga kijumba kidogo cha kuanzia maisha kisha mambo mengine yatafuata mbele, na hapo mtaani eneo karibu lote wameuziwa viwanja/ mashamba na...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua mgogoro wa shamba la Lokolova Vunjo

    Serikali imesema kuwa Shamba la Lokolova lenye ukubwa wa ekari 2,610, lililopo eneo la Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, linamilikiwa kihalali na Chama cha Ushirika cha Ufugaji na Uzalishaji Mali Limited (LOKOLOVA), kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Hayo yamesemwa leo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa Temeke Mwisho tumekaa kwenye eneo hili kwa miaka 15, leo tunaambiwa tuondoke kuna mgogoro

    Wafanyabiashara katika eneo la Temeke Mwisho tumepewa barua za kutakiwa kuondoka kupisha eneo hilo kwa ajili ya mwekezaji. Viongozi wanaeleza kuwa eneo hilo lina mgogoro, huku kukiwa na taarifa kuwa kampuni ya GSM ndiyo inayotarajiwa kuwekeza. Hata hivyo, wafanyabiashara tulikabidhiwa eneo hilo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunahitaji ufafanuzi kutoka Wizara ya Ardhi: Wakazi wa Nala Chihoni tulionunua viwanja na kupewa hati ya Wizara tumepewa siku 14 kuondoka

    Wakazi wa Nala Chihoni tulionunua viwanja kupitia kampuni ya Infinity Real Estate iliyopo Dodoma mtaa wa Jamal na kupewa hati ya wizara tumepewa siku 14 kuondoka, notice ifikapo tarehe 1 Novemba 2026 tutabomolewa nyumba zetu— Halmashauri na Wizara ya Ardhi zitoe majibu. Niliingia mkataba wa...
  5. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

    Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja: Mosi, Israeli na...
  6. makpridash

    JamiiForums Tanzania Mgogoro ni mkubwa ndani ya ndoa.

    Mzazi amesomesha watoto wake wakiume ni wrngi wasichana wwchache. Familia zikiwa nq tabia eti kwa sabab amesomeshaz ndio Madume ya miaka 34 yajazane nyumbni kwangu? Ile kuja na kusalimia sio mbaya, tatizo ni kambi. Hata kupata tunda inakuwa aibu? Kibaya ambacho ni kizuri hakuna dada...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wapokea taarifa ya wataalam kuhusu mgogoro wa mipaka ya kiutawala na msitu wa Kazimzumbwi

    Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Tabora yatatua mgogoro wa ardhi iliyomilikishwa toka miaka ya 1969

    TABORA Kliniki ya Ardhi Kidijiti inayoendelea mkoani Tabora imefanikisha utatuzi wa mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu kati ya familia ya Bi. Osiana Ahadi Shauri na familia ya Saidi Senyange, kuhusu maeneo ambayo familia hizo zimekuwa na nyaraka za umiliki tangu miaka ya 1982 na 1989...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Nafsi: Uhuru Wako Unaanzia Wapi?

    Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira unayoitaka—au unayejua ndio inayotarajiwa na watu —wakati ‘wewe’ wa faraghani hubeba taswira halisi (real...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mgogoro waibuka Moshi Club ,wanachama watoa siku 14 kwa menejimenti

    MOSHI Moshi Sports Club imeingia kwenye mvutano wa kiutawala baada ya wanachama 16 wa klabu hiyo kuwasilisha malalamiko kwa Trustees, wakidai kuwa uchaguzi wa viongozi haujafanyika kwa mujibu wa masharti ya katiba ya klabu. Wanachama hao, kupitia barua yao, wanasema kutofanyika kwa uchaguzi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya ardhi; Laiti siku mimi fundi samico nikiwa kiongozi wenyeviti na watendaji wa mtaa watanyooka, Huwezi kuuza eneo lenye mgogoro

    Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi; Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi! Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa; 1. Wenyeviti wa mitaa 2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa 3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi aelekeza mgogoro wa Dampo la Pugu na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi utatuliwe ndani ya siku 7

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Waziri wa Maliasili na Utalii kufika ndani ya siku saba katika Dampo la...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tuna askari dhaifu sana. Kama huyu Agonza licha ya kuwa afya mgogoro ila kamtandika askari basi tunalindwa na watu dhaifu sana.

    Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, eda ya Samia kuzua mgogoro wa kikatiba?

    Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais? Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania KERO Mgogoro wa ardhi wa miaka 22 katika eneo la Mwananyamala "A" unamuumiza Mzee

    Mimi ni mtoto wa mzee huyu mwenye miaka 90, na nimeamua kuleta suala hili hapa baada ya kuona baba yangu amechoka na kuteseka kutokana na mgogoro wa eneo lake. Kwa mujibu wa nyaraka tulizonazo, baba yangu ni mmiliki halali wa eneo hilo tangu mwaka 1984, lakini kuanzia 2004 amekuwa akipambana na...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu ya sita imekuwa na migogoro mingi ya kiuongozi nafasi za juu kuanzia Ndugai, Majaliwa na sasa Nchimbi?

    Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ushindi wa 60% wa Hichilema Ulizua Mgogoro wa Kitaifa?

    Rais Hakainde Hichilema alitangazwa mshindi kwa asilimia sitini, lakini ushindi huo ulizua mara moja mgogoro mkubwa wa kikatiba nchini Zambia. Tume ya uchaguzi ilisitisha ujumlishaji wa kura kwa saa sita huku kukiwa na ripoti za mashambulizi pamoja na fomu zisizohakikiwa. Kiongozi mkuu wa...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania TAG na EAGT wamaliza Mgogoro wa miaka 40 leo 21-8-2026 Dodoma!

    Mgogoro kati ya Tanzania Assemblies of God (TAG) na Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) ulianza mwaka 1991 kufuatia mfarakano wa kiuongozi na kikatiba kati ya viongozi wakuu, ambapo Mchungaji Moses Kulola aliongoza kundi kubwa kujitenga na kuanzisha EAGT kutokana na kutoelewana na...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nyumba iliyokuwa na mgogoro ikidaiwa hati imebadilishwa bila ridhaa ya wahusika yabomolewa Kikuyu Dodoma

    Nyumba hiyo iliyopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension), Plot no 42 Jijini Dodoma imebomolewa Agosti 18, 2026. Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia...
  20. B

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

    Aug 15, 2026 Manyara WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak Naye mkulima mwekezaji Bi. Jeta aelezea sakata zima la tukio hili la shamba, zana za kilimo na kiwanda cha sukari guru kuchomwa moto. Wananchi wa...
Back
Top Bottom