Mimi ni mtoto wa mzee huyu mwenye miaka 90, na nimeamua kuleta suala hili hapa baada ya kuona baba yangu amechoka na kuteseka kutokana na mgogoro wa eneo lake.
Kwa mujibu wa nyaraka tulizonazo, baba yangu ni mmiliki halali wa eneo hilo tangu mwaka 1984, lakini kuanzia 2004 amekuwa akipambana na mgogoro wa ardhi unaohusisha eneo hilo.
Tunaomba mamlaka husika zilifuatilie suala hili kwa haki na kuhakikisha baba yangu mwenye miaka 90 anapata haki yake kwa mujibu wa sheria.