Habari JF,
Eneo la shamba ekari 2 (mbili) Fukayosi Bagamoyo linauzwa sh 7m maongezi yapo. Shamba hili lipo kwenye eneo lililopimwa na kukatwa blocks na mitaa na wamiliki kupewa hati za kijiji.
Hakuna udalali, mimi mwenyewe ndio mmiliki. Nitafute PM tuyajenge.
Karibuni wadau.