Asalaleee
Asalaleee
Mjinga utakuwa wewe unayejitoa ufahamu kwamba hujui uhasama wa policcm na raia ulianza kwenye mauaji.watu ni wajinga sana
😂😂😂 huyu ikifika segment ya Polisi anakuwa mnyonge, sijui nini, yeye ajue watakwisha wote. Kila polisi atafikiwa.😂😂😂😂
Anatafuta huruma.
Hizo huruma ukiwa nazo wewe inatosha sie tunasema Asante Mungu kwa hiking kidogoPolisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.
Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.
Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.
Tuwe na moyo wa binadamu.
Baba yangu alituambia kwa mtoto wake yeyote atakayejiunga na jeshi la polisi atakuwa amejitenga nae, yupo jamaa yangu nae baada ya mwanae kutaka kujiunga jeshi la polisi aliingia ndani na alipotoka alimpa shilingi 10000/= akamwambia huo ndio urithi wake na kuanzia muda huo yeye amejitenga na familia, na Mimi pia k ni mzazi na nilishawaeleza watoto wangu kwa yeyote atakayejiunga na jeshi la polisi amejitenga na Mimi. Hivyo ni muda muafaka wa hapo polisi kujitafakari wamewakosea nini raia. Na ukumbuke kuwa kazi ya jeshi la polisi ni ulinzi wa raia pamoja na Mali zao, ila wao inaelekea wanafanya kinyume na ndio sababu wanakutana na lawama na hata wanapopata matatizo watu husheherekea.hii ni nchi ya wajinga, huwezi furahi vifo vya polisi bila ya kuwafahamu hao polisi wenyewe,
na alianzisha hii movement atakua anajivunia sana jinsi watanzaniawalivo wajinga
Tumpe angalizo....😂😂😂 huyu ikifika segment ya Polisi anakuwa mnyonge, sijui nini, yeye ajue watakwisha wote. Kila polisi atafikiwa.
hata kabla ya uchaguzi , vifo vya polisi au majeruhi watu walikua wanashangilia , na wakati huo sababu zilikua tofauti kwasababu sakata la uchaguzi lilikua halijatokea.Mjinga utakuwa wewe unayejitoa ufahamu kwamba hujui uhasama wa policcm na raia ulianza kwenye mauaji.
polisi mmoja: Yaani mimi hakuna kinachonikera zaidi kama pesa ya goli la mama, Hivi huyu mama anajua kweli shida tunazopitia sisi polisi
hayo ni maoni yenu na uamuzi wenu, Lakini kuna muda mtahitaji huduma ya polisi, siku mmezingirwa nyumba zenu na watu wanapanga wanataka ku break-in sitaki kua mtabiri ila nina uhakika mtahitaji msaada ya polisi ufike haraka sana.Baba yangu alituambia kwa mtoto wake yeyote atakayejiunga na jeshi la polisi atakuwa amejitenga nae, yupo jamaa yangu nae baada ya mwanae kutaka kujiunga jeshi la polisi aliingia ndani na alipotoka alimpa shilingi 10000/= akamwambia huo ndio urithi wake na kuanzia muda huo yeye amejitenga na familia, na Mimi pia k ni mzazi na nilishawaeleza watoto wangu kwa yeyote atakayejiunga na jeshi la polisi amejitenga na Mimi. Hivyo ni muda muafaka wa hapo polisi kujitafakari wamewakosea nini raia. Na ukumbuke kuwa kazi ya jeshi la polisi ni ulinzi wa raia pamoja na Mali zao, ila wao inaelekea wanafanya kinyume na ndio sababu wanakutana na lawama na hata wanapopata matatizo watu husheherekea.
Haswaaa!!Tumpe angalizo....
Ajali haiogopi bunduki .
Hakika Huyo Baba yako anaakili inayofanana na yangu ila Mimi nimeongeza na sasa,huyo nitamkana sii mwanangu.Baba yangu alituambia kwa mtoto wake yeyote atakayejiunga na jeshi la polisi atakuwa amejitenga nae, yupo jamaa yangu nae baada ya mwanae kutaka kujiunga jeshi la polisi aliingia ndani na alipotoka alimpa shilingi 10000/= akamwambia huo ndio urithi wake na kuanzia muda huo yeye amejitenga na familia, na Mimi pia k ni mzazi na nilishawaeleza watoto wangu kwa yeyote atakayejiunga na jeshi la polisi amejitenga na Mimi. Hivyo ni muda muafaka wa hapo polisi kujitafakari wamewakosea nini raia. Na ukumbuke kuwa kazi ya jeshi la polisi ni ulinzi wa raia pamoja na Mali zao, ila wao inaelekea wanafanya kinyume na ndio sababu wanakutana na lawama na hata wanapopata matatizo watu husheherekea.
Mimi nadhani ni kutafuta kwanza mzizi wa fitina badala ya kulaumu wanaoshangilia. Mtu mwenye akili timamu akikuta mtoto analia hawezi kuanza kwa kulaumu au kumkemea mtoto kwamba asilie bali atatafuta kwanza chanzo cha yule mtoto kulia na kutafuta ufumbuzi wake.hii ni nchi ya wajinga, huwezi furahi vifo vya polisi bila ya kuwafahamu hao polisi wenyewe,
na alianzisha hii movement atakua anajivunia sana jinsi watanzaniawalivo wajinga
hata kabla ya uchaguzi , vifo vya polisi au majeruhi watu walikua wanashangilia , na wakati huo sababu zilikua tofauti kwasababu sakata la uchaguzi lilikua halijatokea.
baada ya uchaguzi hali imekolea zaidi na inachochewa zaidi na mitandao ya kijamii, kama vile ambavyo watu waliingizwa mkenge siku ya uchaguzi huku waandaaji wakuu wakiwa hawapo kwenye tukio.
Hata hio siku ya uchaguzi kuna muda nilikua na polisi jioni, mazungumzo yao polisi wale nao walikua wanalalamikia serikali, kutaja kwa uchache
kama wewe unaona uhasama huo nikwa sababu ya uchaguzi ule ni maoni pia, kama sisi wengine tunavyoona watu wameingizwa chaka, kulikua na muda salama sana kuanza kuidai serikali vitu vya msingi post election, au hata pre election. Ila kua wajinga wakawainga mkenge watu kuleta vurugu siku ya uchaguzi, hata kutotambua hii siku ilikua ya kuingizwa mkenge ni ujinga pia
hayo ni maoni yenu na uamuzi wenu, Lakini kuna muda mtahitaji huduma ya polisi, siku mmezingirwa nyumba zenu na watu wanapanga wanataka ku break-in sitaki kua mtabiri ila nina uhakika mtahitaji msaada ya polisi ufike haraka sana.
polisi kama wanafanya udhalimu sisemi kwamba hawafanyi, ila si wanatumwa muda mwingine na serikali, Mshawaambia hao watoto wenu na ndugu zenu wagomee ajira zote za serikali? huduma zote za serikali?, au mstari mmeuweka kwenye ajira ya polisi tu?
Polisi ni binadamu kama sisi,
Polisi Wana ndugu na familia,
Polisi wanategemewa na watu wao.
Askari yeyote Kala kiapo kwaajili ya kutumikia Taifa lake,na kuheshimu mamlaka Kwa nidhamu ya juu.
Wapo maaskari wachache wasio na utu lakini hili lisifanye Polisi wote waonekane hawafai.tuhurumiane.
Tuwe na moyo wa binadamu.