jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Pre GE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  2. Damaso

    SIMIYU: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa (mganga wa kienyeji) akiwa na fisi

    Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema Januari 24, 2025, saa kumi na mbili jioni katika Kijiji cha Kilulu Kata ya Bunamala Tarafa ya Ntuzu wilayani Bariadi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi kazi cha kupambana na uhalifu, kilifanikiwa kumkamata Emmanuel John Maduhu (31), Msukuma na mganga wa kienyeji...
  3. T

    Afisa wa shirika la umeme Kenya akamatwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma ya rushwa ya Tsh Milion 5.7 ili kumuunganishia tena mteja umeme

    Afrika bhana matatizo yake yanafanana sana hawa shilika la umeme la Kenya michongo yao kama TANESCO tu. Wapelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamemkamata mfanyakazi wa Kampuni ya Umeme ya Kenya (KPLC) kwa tuhuma za kudai Ksh.300,000 ili kuunganisha tena umeme...
  4. The Watchman

    SI KWELI LHRC yaliomba jeshi la polisi kuweka ulinzi mkali uchaguzi CHADEMA

  5. Mindyou

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa alipongeza Jeshi La Polisi kwa "kusimamia" vizuri mkutano wa CCM na Uchaguzi wa CHADEMA

    Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma pamoja na wa Chadema uliofanyika jijini Dar es Salaam. Bashungwa amesema hayo leo Januari 22, 2025 wakati alipofanya...
  6. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Bashungwa: Jeshi la Polisi litaendelea kusimamia usalama shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote. Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia...
  7. J

    Bashungwa aapishwa kuwa mwenyekiti wa tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
  8. Mindyou

    Aliyeshiriki kusambaza picha za utupu kuhusu shule ya Baobab akamatwa na Jeshi La Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Januari 3,2025 lilipokea taarifa kutoka kwa Uongozi wa Shule ya Baobaob iliyopo Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani ya kutengenezwa na kusambazwa katika Mitandao ya Kijamii picha mjongeo za utupu zenye maudhui machafu kimaadili lakini pia ni kinyume na Sheria za nchi...
  9. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria inatuelekeza nini cha kufanya

    Saa chache baada ya kutolewa taarifa ya kukamatwa kwa mwanasiasa mkongwe, Dk Willibrod Slaa, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia kwa mahojiano. Taarifa ya kukamatwa kwa Dk Slaa imesambaa kupitia mitandao ya kijamii, ikisikika sauti ya mwanasiasa huyo...
  10. M

    Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

    Dr Slaa amekamatwa usiku huu. Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni. Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Akizungumza kwa njia ya simu Dkt. Slaa ameeleza kuwa, polisi wamefika...
  11. kichongeochuma

    Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  12. eden kimario

    hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

  13. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi Mbeya lasema Mwaka 2024 kulikuwa na Makosa ya Jinai 22,049 Mkoani hapo yaliyoripotiwa

  14. Mzalauliwa

    DOKEZO Jeshi la polisi, Nyarugusu Mkoa wa Geita kunatisha matukio ya kutisha

    Jeshi la polisi Tanzania hasa ngazi ya juu, Nyarugusu Geita kunatisha kwa mauji ya watu kuchinjwa. Nyarugusu Geita ni kata Ambayo inapatikana mkoa wa Geita wilaya ya Geita vijijini wakazi wake wengi wamezungukwa na sehemu kubwa ya uchimbaji wa madini. Shughuli zake kuu za watu kujipatia...
  15. Mkalukungone mwamba

    Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia: Jeshi la polisi lipo karibu na wananchi

    Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa Dkt. Sophia Mfaume akiongea kwa uchungu katika msiba wa Askari Polisi waliopoteza maisha katika majibizano ya risasi na majambazi wilayani humo. Soma Pia: Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe! Dkt...
  16. Mindyou

    Video: Wananchi wajibu mapigo kwa askari aliyetishia kumvunja mwananchi mguu kwa kumpiga risasi "Vunja kama na wewe leo hufi"

    Wakuu, Inaonekana raia wameanza kuchoka na ukatili na vitisho kutoka kwa baadhi ya askari wa Jeshi La Polisi. Hapa ndio sehemu CCM imefikisha vijana ambao wanaonekana hawana la kupoteza! Kupitia video inayosambaa mitandaoni kwa kasi inaonesha askari wenye silaha nzito za moto wakiwa na vijana...
  17. Mtoa Taarifa

    Jeshi la Polisi lakiri Marehemu Ulomi alikuwa Koplo lakini aliacha kazi mwaka huu

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma, Elisante Ulomi amesema mdogo wake, Daisle Ulomi aliyefariki dunia kwa ajali ya pikipiki jijini hapa, alikuwa mtumishi wa Jeshi la Polisi kabla ya kuacha kazi hiyo mapema mwaka huu. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, Ulomi aliyekuwa anafanya...
  18. Cute Wife

    Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa ya Mchezaji Bernard Morrison kuhusu Kituo cha Polisi Mbweni

    Wakuu, Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kumhusu Mchezaji Bernard Morrison ikituhumu Kituo cha Polisi Mbweni
  19. ChoiceVariable

    Ripoti: Polisi ya Tanzania yashika namba 9 kwa Uweledi Afrika. Kenya haipo popote

    Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake. Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia. My Take Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea...
  20. The Watchman

    Tabora: Watu tisa washikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuozesha binti wa miaka 13

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata watu tisa kwa tuhuma za kumwozesha binti mwenye umri wa miaka 13, Faudhia Mwinyi, mkazi wa Kazaroho, Kata ya Mbugani, kwa mwanaume Issa Ndambile (24), mkazi wa Geita. Ndoa hiyo ilikuwa ikifungishwa katika Msikiti wa Kazaroho, Manispaa ya Tabora...
Back
Top Bottom