Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
Bwana eeeeh hapa kupoza lazimaUnapenda kuibiwa kimachomacho/kutapeliwa/kuuzwa kizuzu?Kwani hauna sifa hitajika?Nini lengo kuu la kutaka upolisi for/by hooks and crooks!?
SswaTuma hiyo pesa kwenye namba hii 0715983621 kisha maongezi yatafuata.
Usiwe na hofu utapata nafasi
NdioUnahamu ya kugawa pesa yako ?
Unajua unachofanya ni kosa kisheria ...
Hiyo ni rushwaa
Sawa tu,YAANI WEWE UMETENGA LAANA
Kuwa makini.Bwana eeeeh hapa kupoza lazima
SawaKuwa makini.
Unatenga hela za kununua laana kwa ajili yako na uzao wako woteKama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
SawaUnatenga hela za kununua laana kwa ajili yako na uzao wako wote
Kwani ana shahada ya "zee la mipango na ugongeshaji mihuri ya moto"?Mbaga Jr unatafutwa
Sijui ila mleta mada kasema anamtafutaKwani ana shahada ya "zee la mipango na ugongeshaji mihuri ya moto"?
Unatafuta polisi kwa rushwa, ili ukishaupata uwe mpokea/mdai rushwa pro max
SawaUnatafuta polisi kwa rushwa, ili ukishaupata uwe mpokea/mdai rushwa pro max