Mkuu umefunga DMNjoo dm serious.
Sio kweliKama unaanza kugawa rushwa mapema hivi, Je ukiwa Traffic Police si utabebelea hela za rushwa kwenye mabegi waziwazi
Siku hizi vyombo vya ulinzi na Usalama wanaajiri kupitia JKT
Mimi nafahamu hivyoSio kweli
Huyo ana hamu ya kulala jela,yani wapinga rushwa unataka kuwapa rushwa...Unahamu ya kugawa pesa yako ?
Unajua unachofanya ni kosa kisheria ...
Hiyo ni rushwaa
Umependea nini policeKama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
Ulisikia wapi Tanzania rushwa na wizi vikaisha? Hujawahi kumuibia mwajiri wako?Kama unaanza kugawa rushwa mapema hivi, Je ukiwa Traffic Police si utabebelea hela za rushwa kwenye mabegi waziwazi
Siku hizi vyombo vya ulinzi na Usalama wanaajiri kupitia JKT
Nmeshtuka sana 😂Mbaga
Ha haa amekosea bwanaNmeshtuka sana 😂
nimekufuatilia nimeona una vigezo vyote kijana vya upolisi ikiwemo kiherehere ,umbumbumbu na utahira.basi nicheki DM ukiwa na hiyo mil 3 tayari ili nikuunge upolisi ukatuue Watanganyika wenzakoKama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
Nawew pia suala lako liko ndani ya uwezo wangu..Umetenga sh ngapi?Mimi natafuta wa kunihamisha mkoani to Dar posho kama ya mtoa mada ipo mfuko wa shati
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
Kama huna uwezo wa kusoma na kuelewa nilichoandika nina wasiwasi kama unao uwezo wa kazi husikaNawew pia suala lako liko ndani ya uwezo wangu..Umetenga sh ngapi?
Sio kweli maana sijui hata dm inafungwa vp ...haupo serious kima wewe.Mkuu umefunga DM